Hata sim banking yenyewe haipatikani inasema external application down.Aseee.Kweli hawa jamaa systems zao hazikuwa hacked kweli.
Siku nzima hakuna huduma ya sim banking wala TawView attachment 3466374
System ya CRDB Iko "Hacked" kitambo hasa Simbanking kwenye ule ubunifu wao wa "Lipa Hapa".Kweli hawa jamaa systems zao hazikuwa hacked kweli.
Siku nzima hakuna huduma ya sim banking wala TawView attachment 3466374
Hii inawezekanaje? Alikuja na card au alitoa kwenye App?Sina uhakika ila inawezekana wamestukia kuna ujanja wanafanyiwa sababu namiliki mashine yao ya uwakala wiki hii walinipigia kuhitaji maelezo ya akaunti ya mtu imetoa hela kwangu bila idhini ya mhusika na inaonekana watu wengi imewakuta.
PESA ZETU ZIKO SALAMA?System ya CRDB Iko "Hacked" kitambo hasa Simbanking kwenye ule ubunifu wao wa "Lipa Hapa".
Kuna namna wafanyakazi wao au watalaam wa IT labda kwa kushirikiana na wafanyakazi wanachepusha pesa za wateja.
Anzia Hapa...HABARI
POKEA LIPA NAMBA YAKO KUTOKA
CRDB
Hahaha na mimi nawaza hivoJana wamesababisha kwa mara ya kwanza nipige nivushe plus ubaya hata sikujua kama hii hali itatokea 😥hawako serious kabisa wasije tu wakakimbia na hela zangu
Si salama! Kuna nyendo zisizoeleweka kwenye account zangu za CRDB kwa muda sasa.PESA ZETU ZIKO SALAMA?
Brutal ATM Hacks imewasumbua sana few months agoKweli hawa jamaa systems zao hazikuwa hacked kweli.
Siku nzima hakuna huduma ya sim banking wala TawView attachment 3466374
Usilolijua ni usiku wa giza.. mbongo mpe kichwa cha habari tu. Ingekuwa rahisi hivyo ku hack mifumo ya benki hai wanaijeria wangekuwa wametajirika.Kwamba baada ya kuvujisha bank statement ya naniliuu sasa wanaoneshwa ubaya ubwela kwa vitendo?
Pole sana muungwana.Jana wamesababisha kwa mara ya kwanza nipige nivushe plus ubaya hata sikujua kama hii hali itatokea 😥hawako serious kabisa wasije tu wakakimbia na hela zangu
Nilijua tatizo liko kwangu tuuhKweli hawa jamaa systems zao hazikuwa hacked kweli.
Siku nzima hakuna huduma ya sim banking wala TawView attachment 3466374