CRDB sasa tena wameongeza muda wa huduma kutopatikana, hivi hawa jamaa kimeawakumba nini?

CRDB sasa tena wameongeza muda wa huduma kutopatikana, hivi hawa jamaa kimeawakumba nini?

Kimenirambaa, CRDB niolo zenu..
Screenshot_20250906_095645_Messages.png


Screenshot_20250906_094602.png
 
Usilolijua ni usiku wa giza.. mbongo mpe kichwa cha habari tu. Ingekuwa rahisi hivyo ku hack mifumo ya benki hai wanaijeria wangekuwa wametajirika.
Aisee hatari
 
Malalamiko dhidhi ya CRDB yamekuwa makubwa sana, hivyo kama wamefunga Kwa namna ya kurekebisha kasoro zinazolalmikiwa na wateja ni jambo jema sana
Aisee kama wamefanya hivi alafu wabakie tena vile vile nitawaona maboya sana
 
Kweli hawa jamaa systems zao hazikuwa hacked kweli.

Siku tatu nzima hakuna huduma ya sim banking wala TawiView attachment 3466374
Tatizo ni kuiga usasa mwingi kwa hizo bank ..matokeo yake wanao umia ni wateja....nashauri kanuni za atm na mobile money ziweke limit ya chini sana ya kutoa pesa au mteja mwenyewe apendekeze limit anayo taka kuwa ya mwisho kutoa pesa mfano mimi nimechagua kuwa kwa atm na mobile kiwango cha juu cha kutoa pesa kwa siku ni sh 25000 tu vinginevyo niende bank mwenyewe.
 
Malalamiko dhidhi ya CRDB yamekuwa makubwa sana, hivyo kama wamefunga Kwa namna ya kurekebisha kasoro zinazolalmikiwa na wateja ni jambo jema sana
Wamekuwa Waongo kwani kuna baadhi ya huduma walihakikisha zitaendelea.Hili halina Afya kwao na wanapunguza credibility
 
Wapuuzi sana hawa watu
3 consecutive days bila huduma nchi nzima ni hatari sana nadhani wanajiandalia anguko lao.
By the way ipo siku tutawarudisha kwenye jukumu lao la msingi yaani benki ya maendeleo vijijini -Jukumu waliloliacha na kukimbilia biashara.


#History. The bank was founded in July 1984, as Cooperative Rural Development Bank (CRDB) of Tanzania. Following the privatization of state-owned firms by the Tanzanian government, the bank was privatized in 1996 and became CRDB (1996) Limited#
 
Hii inawezekanaje? Alikuja na card au alitoa kwenye App?
Sijui ilikuwaje sababu anaekaa dukani ni kijana wangu mimi nilipigiwa nikapewa maelezo ya kumuuliza kijana wangu lakini nikaona bora kila mmoja nimpe namba wawasiliane.
Kikubwa yule huduma kwa wateja aliniambia inaonekana ili jambo sio level zangu kwaiyo zaidi walichotaka kujua dukani aliekuja kutoa hela ni jinsia ya ke au me.
 
Jana wamesababisha kwa mara ya kwanza nipige nivushe plus ubaya hata sikujua kama hii hali itatokea 😥hawako serious kabisa wasije tu wakakimbia na hela zangu
Hahahaha
 
Back
Top Bottom