CRDB sasa tena wameongeza muda wa huduma kutopatikana, hivi hawa jamaa kimeawakumba nini?

Hapo ujambazi wangu mm nini,,unajua maana ya jambazi?nyau wewe kasoro mkia
Hela zikiongezeka bila kuziweka mwenyewe kwenye account hutakiwi kuzitoa, ni kosa kisheria.

Matusi hayasidii , tafuta hela, ukiwa na hela za kutosha huwezi katakana watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…