Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
Karia
Kwanza nikupe pole BAADA ya makando kando ya UWANJA WA TAIFA sasa naona CAF wameona ULE UWANJA sio salama Tena kama mlivyosema sasa twende znz mkapate usalama zaidi
MH Karia uliwahi kusema hii LIGI ya crdb mtajitahidi kuwapelekea wananchi hasa AMBAYO hawana timu ktk LIGI kuu waweze KUFURAHIA haya mashindano
Nimewiwa kwa nia njema kabisa kuuliza hii Tanga kunani
Tanga
MNA shule ya vijana ya michezo
Tanga
Timuyataifa inafanya mazoezi huko
YANGA vs Jkt
Tanga
Nauliza ULE usemi wako kwamba wananchi wote lazima wafurahie haya mashindano na utajitahidi Ile mikoa AMBAYO Haina timu kwenye ligi basi ifurahie haya mashindanooo
Tanga MNA coastal union
Naombaaa kwa hili
Msitupeleke Final ya Crdb Tanga
Nimewema angalizo hizi mechi n kwa AJILI ya WATANZANIA WOTEE na sio wachache wenye mikoa yaoo
TUNAOMBA chonde chonde final PELEKENI popote na sio Tanga tumekuchokaa[/B]