CRDB VS NMB: Watani wa Jadi (Simba na Yanga) katika sekta ya Kibenki Tanzania

Mabenki ya huku Africa ni wanyonyaji sana.

Hebu tazama:

1) Kuhamisha fedha unakatwa
2) Kutazama salio unakatwa
3) Kupata statement unakatwa
4) Kutoa pesa unakatwa
5) Kufanya malipo unakatwa.

Baada ya hapo utawasikia wanajivunia kwa kupata FAIDA kubwa iliyovunja rekodi kwa kuvuka malengo, kisha wanatoa GAWIO nono kwa washirika wao. Kumbe FAIDA zimetengenezwa kwa kuwanyonya watu maskini senti zao.

Wenzao katika nchi zinazojali maisha ya watu, makato yote hapo juu hayapo. Malipo pekee unayolipia ni huduma ya card kwa mwezi. Fedha ambayo ni kidogo sana. Wenzao faida wanapata kutokana na mikopo wanayotoa na uwekezaji mwingine.
 
Hyo kuhamisha salio nahisi ipo kwny mabenki ya nchi nyingi sanaa
 
Kwahyo data ya NAV Per Share inamaanisha kwa sasa bei ya hisa ya NMB ipo overrated sokoni means inauzwa kwa price kubwa than its value siyo...[emoji848]
Ndio, thamani ya hisa ni ndogo kulinganisha na bei ya sokoni....lakini hata hivyo haiondoi ukweli kwamba nmb wapo vizuri sana sokoni kwa sasa hvi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom