EEEEeeeenHEEEEEeeeeh!Alafu sijui kwanini wasiweke wazi
umemweleza vizuri sana; tena ukampa na mfano halisia kabisa unaomgonga utosini mwake.Kijana hayo manamba ndo makalatasi yenyewe, kiufupi huwa wanapeleka manamba benki kuu wanapewa makalatasi mapya kutoka Uswizi then wanatuletea sisi, sasa ukiibiwa hayo manamba ni sawa na kupoteza neno siri la akaunt ya M-Pesa...
Hivi "financial regulator" wa mabenki ni nani ukiacha BOT?Inaitwa crowd control, 2009 google ndio kampuni iliyokiri in publick kuwa wamekuwa hacked
Most companies hawasemi trying to save their image. Crdb wamekuwa victim
Ni kweli. Fedha chini ya kitanda haina makato.Hifadhi pesa zako chini ya kitanda ni salama kwa afya yako...
Hakuna kitu kama hicho hasa kwa waajiriwa wapya. Kwa wastaafu ni kwamba wengi walianza kazi kukiwa na NBC peke yake. Sasa ilipogawanywa mwaka 1997 kama sikosei, kulikuwa na sharti la ili kubaki NBC ni lazima uanze na TShs. 100,000/= hivyo wafanyakazi wengi wa serikali walihamishiwa NMB ambao wengi ndiyo wanastaafu miaka hii. Lakini baadaye NBC walipunguza kianzio hivyo watu wengine wakaanza kujiunga huko pamoja na benki nyingine kama CRDB na Benki ya Posta ambayo imekuwa TCB. Lakini kusema kuwa waajiriwa wapya wanalazimishwa kujiunga NMB na CRDB tu siyo kweli.Waajiriwa wa serikali na wastaafu kwa nini wanalazimishwa kutumia NMB au CRBT. KWANINI? KWANINI WASIRUHUSIWE KUCHAGUA BENKI WAZIPENDAZO???
Tatizo kubwa hamna banki inao amnika hapa Tanzania zote ni tia maji, kwasababu Benki zote haxitaki kuwekeza kiasi cha kutosha kwenye modern soft ware ya security, huwezi kutumia technology ile ile miaka lazima uibiwe.Crdb inapo elekea ni kujifia tu, maana wananchi walio ibiwa lazima wakimbilie benki pinzani.
Bilioni 3 za madafu? Ni fedha kidogo kwa benki kama CRDB. Labda tatizo sasa liko kwenye kutojua ziliibiwaje na wako salama kiasi gani. Ila kwa Bongo wala hili siyo jambo la kushangaza. Tuna culture ya ku-relax na kutokuwa makini kwa kila jambo.Alafu sijui kwanini wasiweke wazi
Mmh 3bn ni pesa ya madafu kwa CRDB mkuu get serious huo ni karibia mshahara wa watumishi karibia wilaya nzima za vvijijiniBilioni 3 za madafu? Ni fedha kidogo kwa benki kama CRDB. Labda tatizo sasa liko kwenye kutojua ziliibiwaje na wako salama kiasi gani. Ila kwa Bongo wala hili siyo jambo la kushangaza. Tuna culture ya ku-relax na kutokuwa makini kwa kila jambo.
Tatizo kubwa ni kuwa popote alipo mtanzania anakuwa ame-relax na hayuko makini. Nakuapia hata uweke software ya karne ijayo bado tu. Nchi yetu imeshaingia kwenye culture mbaya sana na uzembe na bora liende. Na hili linaanzia kwenye uongozi wa nchi na linashuka mpaka ngazi za chini. Kila kitu ni kuunga-unga na kutumia ubabe (kwa sababu hatuna maarifa). Hivi kama nchi inaweza kuwa na majaji na wanashria wa serikali kama wanafanya kesi ya Lissu unategemea nini kwenye maeneo mengine? Kama mkuu wa usalama au majeshi yuko compromised kiasi cha kuishi kwenye maisha ya kifisadi huku watoto wao wanatembea na mabunda ya dola, ni nani wa kuichunga nchi? Na bado... huu ujinga unafanyika sasa hivi utakuja kutu-cost mno siku sijazo.Tatizo kubwa hamna banki inao amnika hapa Tanzania zote ni tia maji, kwasababu Benki zote haxitaki kuwekeza kiasi cha kutosha kwenye modern soft ware ya security, huwezi kutumia technology ile ile miaka lazima uibiwe.
Niko serious kabisa mkuu japo neno madafu hukulielewa vizuri. Siyo fedha nyingi kiasi cha kuweza kuyumbusha benki kama watu wanavyolalamika sasa. NB: Neno madafu nimetumia kumaanisha fedha ya kitanzania yaani shilingi. Ukisikia mtu anasema fedha ya madafu ina maana anamaanisha shilingi za kitanzania.Mmh 3bn ni pesa ya madafu kwa CRDB mkuu get serious huo ni karibia mshahara wa watumishi karibia wilaya nzima za vvijijini
Huu ni ukweli mchungu sana, utamaduni wa kukosa uwajibikaji na uzembe umekithiri kila mahali.Tatizo kubwa ni kuwa popote alipo mtanzania anakuwa ame-relax na hayuko makini. Nakuapia hata uweke software ya karne ijayo bado tu. Nchi yetu imeshaingia kwenye culture mbaya sana na uzembe na bora liende. Na hili linaanzia kwenye uongozi wa nchi na linashuka mpaka ngazi za chini. Kila kitu ni kuunga-unga na kutumia ubabe (kwa sababu hatuna maarifa). Hivi kama nchi inaweza kuwa na majaji na wanashria wa serikali kama wanafanya kesi ya Lissu unategemea nini kwenye maeneo mengine? Kama mkuu wa usalama au majeshi yuko compromised kiasi cha kuishi kwenye maisha ya kifisadi huku watoto wao wanatembea na mabunda ya dola, ni nani wa kuichunga nchi? Na bado... huu ujinga unafanyika sasa hivi utakuja kutu-cost mno siku sijazo.
Ni kweli hi nchi imesinzia sana wa kulaumu ni Nyerere ndo alio tujengea msingi mbovu, kweli mwaka 2025 mna thubutu je kuchangua legislator wa darasa la 7 na watu wote wanaona ni normal na kawaida Tanzania ni nchi ya ajabu sana unakua na wataalamu ambao sio wasomi na wana akili duniTatizo kubwa ni kuwa popote alipo mtanzania anakuwa ame-relax na hayuko makini. Nakuapia hata uweke software ya karne ijayo bado tu. Nchi yetu imeshaingia kwenye culture mbaya sana na uzembe na bora liende. Na hili linaanzia kwenye uongozi wa nchi na linashuka mpaka ngazi za chini. Kila kitu ni kuunga-unga na kutumia ubabe (kwa sababu hatuna maarifa). Hivi kama nchi inaweza kuwa na majaji na wanashria wa serikali kama wanafanya kesi ya Lissu unategemea nini kwenye maeneo mengine? Kama mkuu wa usalama au majeshi yuko compromised kiasi cha kuishi kwenye maisha ya kifisadi huku watoto wao wanatembea na mabunda ya dola, ni nani wa kuichunga nchi? Na bado... huu ujinga unafanyika sasa hivi utakuja kutu-cost mno siku sijazo.
Bank imechangia chama kimya kimya wasituchosheHii si utani ni kwamba utaratibu wa Afrika hatutaki kuaibika wakati ukweli unajulikana
CRDB wamehakiwa na kila mtanzania pesa zimeonekana kupungua kwenye account yake
Na hawajui lini itarejea ni kwamba wahuni wamepita nazo
View attachment 3471585
Britanicca
Hii mambo ya sim banking niliihofia siku nyingi! Wapo vichaa Toka Nigeria na Kenya ni mabingwa wa ku hack mifumo,nikasema ipo siku tutalia!Hii si utani ni kwamba utaratibu wa Afrika hatutaki kuaibika wakati ukweli unajulikana
CRDB wamehakiwa na kila mtanzania pesa zimeonekana kupungua kwenye account yake
Na hawajui lini itarejea ni kwamba wahuni wamepita nazo
View attachment 3471585
Britanicca