Tetesi: CRDB wameibiwa zaidi ya bilion 3 za wateja kwenye hacking ndio maana wakaweka siku za kujihakiki kubadili mfumo

Bilion zaidi ya 3 that was one branch what about others ! Means can be up to 100 bilion
Kuna watu wanaspeculate kama ulivyofanya mara 100 B, mara 500B... hivi watu humu wanafahamu impact kwenye uchumi ya nusu Trilion kuondoka kwenye mfumo wa kibenki ndani ya siku kadhaa???

Nusu Trilion ikiondoka CRDB sio imeondoka tu CRDB - maana yeke imeondoka pia BOT... BOT saihizi pangekuwa hapakaliki...
 
Hivi Benk hazina Bima?
 
H
Hamna hacking yeyote CRDB wameiba wenyewe.

Yani kichwa Cha familia kama ni kibovu familia nzima ni uozo mtupu, yajayo yanafurahisha (itakuwa kilio na kusaga meno).
 
Hivi Benk hazina Bima?
Bank nyingi bongo zinaweka insurance against robbery, na internal fraud. Lakini international banks zina insurance covers against cyber crime . Nina wasiwasi kama hawa ndugu zetu walikuwa nayo hiyo ya cyber .Na hata hivyo makampuni ya bima ya hapa hayakati ni lazima wakatie makampuni ya nje.
 
Aisee ni hatari sana
 
Hivi "financial regulator" wa mabenki ni nani ukiacha BOT?

Nchi yapaswa kuwa na "financial regulator" ili kuziwajibisha benki zinokiuka taratibu ambazo husababisha kuwepo na fraud za makusudi..

Fraud ni wizi wa kiuchumi au economical crime.
Msimu wa chafuzi ni msimu wa mavuno iwe haramu ama halali
 
Inabidi muwaambie hao watu, kwenye hiyo benki kuacha wizi wa wazi namna hii.
Kureset system ina maana kufuta ushahidi wote nyuma.
Kwanini ushahidi ufutwe?
Ni mwaka na nusu sasa sina access na acc yangu na ilikuwa ghafla tu kuwa blocked.
Wanakublock then wanaiba.
How unaingiza password ile ile unatumia kila siku inakwambia wrong password.
Hadi google nimeuliza wakasema mbona ni hiyohiyo?
Mpaka leo kimya,wanasema ni dormant acc kivipi wakati mmeniblock wenyewe🧔🧔🤦
 
Ila kuwa hacked sasa hivi ni janga la kidunia kuna kampuni recently iliibiwa hela na vijana kutoka North Korea ni one of biggest hack kutokea.Kama wamegundua tatizo lilipo then wafanye bidii kujizatiti
 
Inaweza kua zaidi ya hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…