CRDB ya Nsekela, kwa watu wanaofuatilia pattern, ilibidi waipige chini muda mrefu

Ozon

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2024
Posts
2,910
Reaction score
4,711
Leo watu wanashangaa, imekuwaje Katuga amepata CRDB bank statement ya Heche? Lakini kama kawaida ya Watanganyika kama makondoo...

Pattern ya CRDB ya Nsekela tangu mwaka jana imekuwa ya kuogofya, kuanzia kuhusishwa na ufisadi mkubwa wa viongozi wa ngazi za juu serikalini kila scandal mbaya ilikuwa ni CRDB kuchukuliwa hela za watu kwenye account zao, tukio lililowashangaza watu wengi mwaka jana, kuandaa marathon zenye malengo ya utakatishaji fedha, n.k.

Kufungua matawi ya kimkakati nje ya nchi kwa ajili ya kutorosha pesa za vigogo nje ya nchi, n.k. Ni benki ambayo management yake tayari imekuwa compromised na wahuni.

Endeleeni kuwachekea, mtalia na kusaga meno.
 
Kuna wakati akaunti zetu zilivurugika kiasi kwamba masalio yalikologeka.Lakini hatukupewa taarifa rasimi ya nini kilitokea.
 
Bank kutoa statement ya mteja katika kesi ya uhaini unashangaa?si ndio sheria zipo hivyo??Sheria ya usalama wa Taifa by the way,.kama kuna jinai,ugaidi,treason,bank inatoa ushaidi vizuri tu..
Hizo ni account za shahidi!? Mi naona pande zote zinafanya siasa badala ya kujikita kwenye msingi wa case yaani uhaini
 
Leo watu wanashangaa, imekuwaje Katuga amepata CRDB bank statement ya Heche? Lakini kama kawaida ya Watanganyika kama makondoo...

Pattern ya CRDB ya Nsekela tangu mwaka jana imekuwa ya kuogofya, kuanzia kuhusishwa na ufisadi mkubwa wa viongozi wa ngazi za juu serikalini kila scandal mbaya ilikuwa ni CRDB kuchukuliwa hela za watu kwenye account zao, tukio lililowashangaza watu wengi mwaka jana, kuandaa marathon zenye malengo ya utakatishaji fedha, n.k.

Kufungua matawi ya kimkakati nje ya nchi kwa ajili ya kutorosha pesa za vigogo nje ya nchi, n.k. Ni benki ambayo management yake tayari imekuwa compromised na wahuni.

Endeleeni kuwachekea, mtalia na kusaga meno.
Charles Kimei aliwahi kusema kuwa anamuogopa sana Magufuli.

Nilivyosikia hivyo tu nikajua hapa hamna benki.

Ukichanganya na huyu Nsekela wa PhD ya "Status Anxiety" ambaye hajui hata kujieleza, kaenda kwenye podcast badala ya kujibu maswali ndiyo kwanza anaongeza maswali zaidi,ndiyo kabisa unaona pale benki inaenda kwa uzalendo tu, lakini kama kungekuwa na ushindani wa kweli ingeshalala chali siku nyingi.

Kuna watu wamepoteza pesa zaidi ya USD 100,000 wanazungushwa mwaka wa tatu huu, hata kujibiwa tu hawajibiwi, wanaishitaki benki.
 
Hizo ni account za shahidi!? Mi naona pande zote zinafanya siasa badala ya kujikita kwenye msingi wa case yaani uhaini
Sasa Heche si shaidi?bado wapo kwenye Msingi wa Kesi ya uhaini,anaulizwa maswali ya kumuondolea credibility akionekana sio msafi,mla rushwa ushaidi wake(utetezi) hautachukuliwa serious na mahakama,ndio maana wanamuuliza hadi magari manne kakununulia nani?Jezi ya Arsenal umetoa wapi??
 
Bank kutoa statement ya mteja katika kesi ya uhaini unashangaa?si ndio sheria zipo hivyo??Sheria ya usalama wa Taifa by the way,.kama kuna jinai,ugaidi,treason,bank inatoa ushaidi vizuri tu..
Heche ni mshatikiwa au shahidi? Igp cdf na kingai wakipanda mahamkamani lisu ataruhusiwa kupewa statement zao za bank na document za magari na nyumbaa?
 
Sasa Heche si shaidi?bado wapo kwenye Msingi wa Kesi ya uhaini,anaulizwa maswali ya kumuondolea credibility akionekana sio msafi,mla rushwa ushaidi wake(utetezi) hautachukuliwa serious na mahakama,ndio maana wanamuuliza hadi magari manne kakununulia nani?Jezi ya Arsenal umetoa wapi??

..hata Katuga naye anaharibu credibility ya upande wa mashtaka.

..kitendo cha Katuga kuleta taarifa zisizohusiana na kesi, ambazo ni faragha ya shahidi, kinyume cha sheria ni kuikosea mahakama.

..Upande wa mashtaka inaelekea umeona hali imekuwa mbaya kwa upande wao, kesi inaelekea mwisho hawajapata lolote la maana, sasa wameamua kucheza rafu.

..Katuga hajagusa kabisa ushahidi wa Heche, badala yake ameamua kumshambulia ktk mambo binafsi.

..Katuga pia amejielekeza kushambulia familia ya Lissu kwamba ni raia wa nchi nyingine kana kwamba hiyo inathibitisha uhaini.
 
Back
Top Bottom