- Thread starter
- #61
Ushahidi utakusaidia nini wewe kilaza.Kushutumu bila ushahidi sio jambo zuri,kama una ushahidi wa huo ufisadi hebu uweke hadharani,vinginevyo nyamaza bro
Bakia na ujinga wako, hivi unadhani ushahidi utakusaidia nini kama wale wanaopaswa kusimamia sheria za nchi hii ndo wavurugaji namba moja?
Usiwe mjinga kiasi hicho labda kama na wewe ni mnufaika wa mifumo hii mibovu.