CRDB ya Nsekela, kwa watu wanaofuatilia pattern, ilibidi waipige chini muda mrefu

CRDB ya Nsekela, kwa watu wanaofuatilia pattern, ilibidi waipige chini muda mrefu

Enzi za jiwe, CRDB walikuwa wanashare akaunti za makampuni na TRA. TRA walikuwa wanaweza kuchukua chao au CRDB kuzuia akaunti ya mteja, mpaka amalizane na TRA. Auditor anapeleka hesabu za mizania ya fedha ya mwaka, TRA wanachungulia akaunti ya mteja na walikuwa wanatoa maelekezo kwa benki juu ya fedha ya mteja, kuchukua au ku frozen. Ukienda benki, unaambiwa malizana na TRA. Ulikuwa ni uduanzi sana.

Sijajua kama michezo hiyo imeisha siku hizi CRDB. Watu walihamka NBC na CBA, siku hizi NCBA kwa uduanzi ule.

Kuhusu Heche; Maana yake DPP amekwenda kuchukua benki, statement ya Heche bila amri ya mahakama, toka anafungua akaunti yake na wakapewa!

Heche akikaa na Kibatala, kuna kesi hapo dhidi ya CRDB. Violation of customer's rights and privacy without the court's instruction (s) to the banker (CRDB).
 
Sasa kama wewe una account mkombozi si nitakulipia mkombozi au ulitaka awafungulishe account mpya bank ingine.

Kwahiyi maaskofu na waumini wao wakaamua kutumia bank yao kupitisha fedha za wizi za escrow au siyo??

Unafaham kuwa kamati ya bunge imetamka kuwa hiyo bank ni kichaka cha money laundering?
 
CRDB mwaka jana ile kwenye marekebisho yao , waliondoka na pesa zangu..Mwaka huu wanaendelea kunikata na deni lao nimemaliza , kila ukienda wanakuambia jaza fomu pesa zitarudishwa .

Sina hamu nao .
 
Kilicholetwa mahakamani sio bank statement ya Heche ni pay in slip za salman aliyefanya deposit kwenye akaunti ya Heche
Nsekela na crdb kwa ujumla hizi lawama mnawatwisha mzigo sio wa kwao, lawama apewe salman.
 
Attachments

  • FB_IMG_1789459565735.jpg
    FB_IMG_1789459565735.jpg
    54.9 KB · Views: 12
  • FB_IMG_1789459555734.jpg
    FB_IMG_1789459555734.jpg
    73 KB · Views: 10
Kwamba unadhani benki zingine hazitoi taarifa Mkuu? 🤣🤣🤣
Hawa vilaza achana nayo bank yoyote inatoa taarifa za Mtu yoyote kuna presidency nyingi sana hasa kesi za Zamani akina Harry Kitily akina Bazir Pesa Mbili mramba hakuna bank yenye uwezo wa kukakataa kutoa taarifa ya mtu yoyote labda awe hana account kwenye bank husika
 
Charlws Kimei aliwahi kusema kuwa anamuogopa sana Magufuli.

Nikivyosikia hivyo tu nikajua hapa hamna bwnki.

Ukichanganya na huyu Nsekela wa PhD ya "Status Anxiety" ambaye hajui hata kujieleza, kaenda kwenye podcast badala ya kujibu maswali ndiyo kwanza anaongeza maswali zaidi,ndiyo kabisa unaona pale benki inaenda kwa uzalendo tu, lakini kama kungekuwa na ushindani wa kweli ingeshalala chali simu nyingi.

Kuna watu wamepoteza pesa zaidi ya USD 100,000 wanazungushwa mwaka wa tatu huu, hata kujibiwa tu hawajibiwi, wanaishitaki benki.
Umenistusha sana, nilifikiri ipo kama alvyoiacha Kimei, kumbe imeoza zaidi!!
 
Unajua nyinyi mafala wa bavicha mnazingua sana

Akili zenu ni za kuvukia tuh barabara

Kwahiyo unataka CRDB iache kuonesha ushirikiano na dola katika kuwafunga hawa wahaini ili iweje??

MBONA ILE MKOMBOZI BANK YA KANISA ILIPOTUMIKA KUPITISHA FEDHA ZA WIZI ZA MAAAKOFU HAMKUSEMA NYINYI MAFALA??

TULIENI DAWA ZIINGIE
Shida unaleta zile zile chuki zako za kidwanzi. Kama unadai fedha zilikuwa za wizi basi huyo mwizi mwenyewe inabidi awe JK aliyesema kuwa zile si fedha zetu. Ndio maana Singasinga yupo uraiani na alichangia mamilioni kwenye chama. Je, Rais wenu naye anashirikiana na wezi!?
 
Leo watu wanashangaa, imekuwaje Katuga amepata CRDB bank statement ya Heche? Lakini kama kawaida ya Watanganyika kama makondoo...

Pattern ya CRDB ya Nsekela tangu mwaka jana imekuwa ya kuogofya, kuanzia kuhusishwa na ufisadi mkubwa wa viongozi wa ngazi za juu serikalini kila scandal mbaya ilikuwa ni CRDB kuchukuliwa hela za watu kwenye account zao, tukio lililowashangaza watu wengi mwaka jana, kuandaa marathon zenye malengo ya utakatishaji fedha, n.k.

Kufungua matawi ya kimkakati nje ya nchi kwa ajili ya kutorosha pesa za vigogo nje ya nchi, n.k. Ni benki ambayo management yake tayari imekuwa compromised na wahuni.

Endeleeni kuwachekea, mtalia na kusaga meno.
Hakuna benki ya kijinga kama hii crdb yaaan hata staki kuona kibao au neno la crdb nikiwa napita
 
Unajua nyinyi mafala wa bavicha mnazingua sana

Akili zenu ni za kuvukia tuh barabara

Kwahiyo unataka CRDB iache kuonesha ushirikiano na dola katika kuwafunga hawa wahaini ili iweje??

MBONA ILE MKOMBOZI BANK YA KANISA ILIPOTUMIKA KUPITISHA FEDHA ZA WIZI ZA MAAAKOFU HAMKUSEMA NYINYI MAFALA??

TULIENI DAWA ZIINGIE
Wakiomba mahakama itoe kibali kama Sheria zinavyosema?
 
Leo watu wanashangaa, imekuwaje Katuga amepata CRDB bank statement ya Heche? Lakini kama kawaida ya Watanganyika kama makondoo...

Pattern ya CRDB ya Nsekela tangu mwaka jana imekuwa ya kuogofya, kuanzia kuhusishwa na ufisadi mkubwa wa viongozi wa ngazi za juu serikalini kila scandal mbaya ilikuwa ni CRDB kuchukuliwa hela za watu kwenye account zao, tukio lililowashangaza watu wengi mwaka jana, kuandaa marathon zenye malengo ya utakatishaji fedha, n.k.

Kufungua matawi ya kimkakati nje ya nchi kwa ajili ya kutorosha pesa za vigogo nje ya nchi, n.k. Ni benki ambayo management yake tayari imekuwa compromised na wahuni.

Endeleeni kuwachekea, mtalia na kusaga meno.
Ok.🐒
 
Kushutumu bila ushahidi sio jambo zuri,kama una ushahidi wa huo ufisadi hebu uweke hadharani,vinginevyo nyamaza bro
 
Kufungua matawi ya kimkakati nje ya nchi kwa ajili ya kutorosha pesa za vigogo nje ya nchi, n.k. Ni benki ambayo management yake tayari imekuwa compromised na wahuni.
Hii noma kinomanoma kidadeq benki imepigwa kabari mbaya km aliyopigwa yule traffic pale maeneo ya Kawe haipumui ni mwendo wa kusachiwa tu
 
Back
Top Bottom