CRDB ya Nsekela, kwa watu wanaofuatilia pattern, ilibidi waipige chini muda mrefu

..hata Katuga naye anaharibu credibility ya upande wa mashtaka.

..kitendo cha Katuga kuleta taarifa zisizohusiana na kesi, ambazo ni faragha ya shahidi, kinyume cha sheria ni kuikosea mahakama.

..Upande wa mashtaka inaelekea umeona hali imekuwa mbaya kwa upande wao, kesi inaelekea mwisho hawajapata lolote la maana, sasa wameamua kucheza rafu.

..Katuga hajagusa kabisa ushahidi wa Heche, badala yake ameamua kumshambulia ktk mambo binafsi.

..Katuga pia amejielekeza kushambulia familia ya Lissu kwamba ni raia wa nchi nyingine kana kwamba hiyo inathibitisha uhaini.
Kusema Heche ni shahidi hakufanyi taarifa zake za benki kuwa automatically inadmissible. Swali la msingi ni hilo ulilouliza huko juu ''hizo taarifa zinatumika kuthibitisha nini? Zina relevance kwenye kesi?zimepatikana kwa njia inayoruhusiwa kisheria???

Kama unakumbuka maswali ya last week Katuga alikua anajaribu kuonyesha bias ya Eche na uhusiano wake na mshitakiwa kwenye maswali ya dodoso,Jana kahamia kwenye financial relationship,anajaribu kuonesha motive kuchallenge credibility ya shahidi

Mfano kuonyesha kwamba viongozi wa CHADEMA wanapokea pesa zisizoeleweka kwa matumizi gani?,.Leo JF kuna mtu kapost Eche alipokea million 20 bila utaratibu wa kichama..hilo jambo sio relevant kwa mazingira ya kesi?.

But Kama hizo taarifa za bank hazina connection yoyote na issues za kesi,au zimepatikana kinyume cha utaratibu basi upande wa utetezi unaweza kupinga Katuga kutupotezea muda

Unaposema kuwa taarifa hizo ni private haziwezi kuletwa mahakamani sio kweli,kama zina relevance na kesi screw privacy..
 
Leo watu wanashangaa, imekuwaje Katuga amepata CRDB bank statement ya Heche? Lakini kama kawaida ya Watanganyika kama makondoo...

Pattern ya CRDB ya Nsekela tangu mwaka jana imekuwa ya kuogofya, kuanzia kuhusishwa na ufisadi mkubwa wa viongozi wa ngazi za juu serikalini kila scandal mbaya ilikuwa ni CRDB kuchukuliwa hela za watu kwenye account zao, tukio lililowashangaza watu wengi mwaka jana, kuandaa marathon zenye malengo ya utakatishaji fedha, n.k.

Kufungua matawi ya kimkakati nje ya nchi kwa ajili ya kutorosha pesa za vigogo nje ya nchi, n.k. Ni benki ambayo management yake tayari imekuwa compromised na wahuni.

Endeleeni kuwachekea, mtalia na kusaga meno.

Unajua nyinyi mafala wa bavicha mnazingua sana

Akili zenu ni za kuvukia tuh barabara

Kwahiyo unataka CRDB iache kuonesha ushirikiano na dola katika kuwafunga hawa wahaini ili iweje??

MBONA ILE MKOMBOZI BANK YA KANISA ILIPOTUMIKA KUPITISHA FEDHA ZA WIZI ZA MAAAKOFU HAMKUSEMA NYINYI MAFALA??

TULIENI DAWA ZIINGIE
 
Para, ya mwisho umezingua pesa za,IPTL hazikua za wizi ni malipo halali na mlipwaji akaamua kuwa bless the blessed.
 
You're pathetically mentally sick, you can't tell the difference between A and B so the very argument on the table is beyond your comprehension.
If you can’t challenge the argument without diagnosing me,maybe the argument isn’t the problem your inability to address it is.
 
Bank kutoa statement ya mteja katika kesi ya uhaini unashangaa?si ndio sheria zipo hivyo??Sheria ya usalama wa Taifa by the way,.kama kuna jinai,ugaidi,treason,bank inatoa ushaidi vizuri tu..
Kwahiyo umeona hilo tu

Idiot
 
Charlws Kimei aliwahi kusema kuwa anamuogopa sana Magufuli.

Nikivyosikia hivyo tu nikajua hapa hamna bwnki.

Ukichanganya na huyu Nsekela wa PhD ya "Status Anxiety" ambaye hajui hata kujieleza, kaenda kwenye podcast badala ya kujibu maswali ndiyo kwanza anaongeza maswali zaidi,ndiyo kabisa unaona pale benki inaenda kwa uzalendo tu, lakini kama kungekuwa na ushindani wa kweli ingeshalala chali simu nyingi.

Kuna watu wamepoteza pesa zaidi ya USD 100,000 wanazungushwa mwaka wa tatu huu, hata kujibiwa tu hawajibiwi, wanaishitaki benki.
💯💯
 
If you can’t challenge the argument without diagnosing me,maybe the argument isn’t the problem your inability to address it is.
It's calling spade a spade, the attitude you bring is exactly the attitude you'll receive.
I will always mirror your whatever vibes back to you so check your previous petty posts before you continue crying.
 
Bank kutoa statement ya mteja katika kesi ya uhaini unashangaa?si ndio sheria zipo hivyo??Sheria ya usalama wa Taifa by the way,.kama kuna jinai,ugaidi,treason,bank inatoa ushaidi vizuri tu..

Taarifa zinazotolewa ni za mtuhumiwa, sio shahidi.
Kwa taarifa yako tu huwa zinatolewa kwa taratibu, hakuna cha sheria ya usalama wa taifa.
Hii kitu kwa nchi za huku nje, ni serious offence, bank reputation inaharibika hapo hapo
 
Naanza kumuelewa Prof Luhanga wa Udsm alikua anaona sheria ni sawa na masomo ya kupika au maua ingawaje alipotia mguu walikula kichwa semester ya kwanza tu napofatilia baadhi ya kesi naona mambo ya kijinga yakiendelea na Mahakama ambayo ndio wanasimamia hizo sheria wakiacha vitu viendelee kama kawaida na pia naendelea kupata majibu kama hawa ndio Wanasheria wetu wanatakiwa waitetee Serikali huko kwenye Mahakama za kimataifa tutaendelea kuwalipa mabeberu kila kukicha..
 
Taarifa zinazotolewa ni za mtuhumiwa, sio shahidi.
Kwa taarifa yako tu huwa zinatolewa kwa taratibu, hakuna cha sheria ya usalama wa taifa.
Hii kitu kwa nchi za huku nje, ni serious offence, bank reputation inaharibika hapo hapo
Angefanya hivyo SA leo kesi ya bank na huyo Katuga ingeanza upya hakuna muhuni anaeruhusiwa kuchukua bank statement ya mtu mwingine na kuipeleka mahakamani eti maswali ya dodoso na mahakama inapokea hiyo taarifa..
 
Kusema Heche ni shahidi hakufanyi taarifa zake za benki kuwa automatically inadmissible. Swali la msingi ni hilo ulilouliza huko juu ''hizo taarifa zinatumika kuthibitisha nini? Zina relevance kwenye kesi?zimepatikana kwa njia inayoruhusiwa kisheria???

Kama unakumbuka maswali ya last week Katuga alikua anajaribu kuonyesha bias ya Eche na uhusiano wake na mshitakiwa kwenye maswali ya dodoso,Jana kahamia kwenye financial relationship,anajaribu kuonesha motive kuchallenge credibility ya shahidi

Mfano kuonyesha kwamba viongozi wa CHADEMA wanapokea pesa zisizoeleweka kwa matumizi gani?,.Leo JF kuna mtu kapost Eche alipokea million 20 bila utaratibu wa kichama..hilo jambo sio relevant kwa mazingira ya kesi?.

But Kama hizo taarifa za bank hazina connection yoyote na issues za kesi,au zimepatikana kinyume cha utaratibu basi upande wa utetezi unaweza kupinga Katuga kutupotezea muda

Unaposema kuwa taarifa hizo ni private haziwezi kuletwa mahakamani sio kweli,kama zina relevance na kesi screw privacy..
Utachoka kuwaelimisha makamanda...wao wanajua kila kitu.
 
Leo watu wanashangaa, imekuwaje Katuga amepata CRDB bank statement ya Heche? Lakini kama kawaida ya Watanganyika kama makondoo...

Pattern ya CRDB ya Nsekela tangu mwaka jana imekuwa ya kuogofya, kuanzia kuhusishwa na ufisadi mkubwa wa viongozi wa ngazi za juu serikalini kila scandal mbaya ilikuwa ni CRDB kuchukuliwa hela za watu kwenye account zao, tukio lililowashangaza watu wengi mwaka jana, kuandaa marathon zenye malengo ya utakatishaji fedha, n.k.

Kufungua matawi ya kimkakati nje ya nchi kwa ajili ya kutorosha pesa za vigogo nje ya nchi, n.k. Ni benki ambayo management yake tayari imekuwa compromised na wahuni.

Endeleeni kuwachekea, mtalia na kusaga meno.
Kilichoonyeshwa mahakamani ni risiti na pay-in-slip ambazo ni za mteja. Sio bank statement. Mngemlaumu Nilesh na sio CRDB. Ila kwa upande mwingine nyie CHADEMA ni mara ngapi mmevujisha statement za watu mtandaoni za benki hiyohiyo ya CRDB? Tulieni dawa iwaingie.
 
Acha kutetea ujinga

Idiot!
 
Back
Top Bottom