Kwamba unadhani benki zingine hazitoi taarifa Mkuu? 🤣🤣🤣Hata sjutii kuwahama, benki ya ovyo ile
Hapana! Walichonifanyia sina hamu tenaKwamba unadhani benki zingine hazitoi taarifa Mkuu? 🤣🤣🤣
Kuna wakati akaunti zetu zilivurugika kiasi kwamba masalio yalikologeka.Lakini hatukupewa taarifa rasimi ya nini kilitokea.Leo watu wanashangaa, imekuwaje Katuga amepata CRDB bank statement ya Heche? Lakini kama kawaida ya Watanganyika kama makondoo...
Pattern ya CRDB ya Nsekela tangu mwaka jana imekuwa ya kuogofya, kuanzia kuhusishwa na ufisadi mkubwa wa viongozi wa ngazi za juu serikalini kila scandal mbaya ilikuwa ni CRDB kuchukuliwa hela za watu kwenye account zao, tukio lililowashangaza watu wengi mwaka jana, kuandaa marathon zenye malengo ya utakatishaji fedha, n.k.
Kufungua matawi ya kimkakati nje ya nchi kwa ajili ya kutorosha pesa za vigogo nje ya nchi, n.k. Ni benki ambayo management yake tayari imekuwa compromised na wahuni.
Endeleeni kuwachekea, mtalia na kusaga meno.
Hizo ni account za shahidi!? Mi naona pande zote zinafanya siasa badala ya kujikita kwenye msingi wa case yaani uhainiBank kutoa statement ya mteja katika kesi ya uhaini unashangaa?si ndio sheria zipo hivyo??Sheria ya usalama wa Taifa by the way,.kama kuna jinai,ugaidi,treason,bank inatoa ushaidi vizuri tu..
Charles Kimei aliwahi kusema kuwa anamuogopa sana Magufuli.Leo watu wanashangaa, imekuwaje Katuga amepata CRDB bank statement ya Heche? Lakini kama kawaida ya Watanganyika kama makondoo...
Pattern ya CRDB ya Nsekela tangu mwaka jana imekuwa ya kuogofya, kuanzia kuhusishwa na ufisadi mkubwa wa viongozi wa ngazi za juu serikalini kila scandal mbaya ilikuwa ni CRDB kuchukuliwa hela za watu kwenye account zao, tukio lililowashangaza watu wengi mwaka jana, kuandaa marathon zenye malengo ya utakatishaji fedha, n.k.
Kufungua matawi ya kimkakati nje ya nchi kwa ajili ya kutorosha pesa za vigogo nje ya nchi, n.k. Ni benki ambayo management yake tayari imekuwa compromised na wahuni.
Endeleeni kuwachekea, mtalia na kusaga meno.
Sasa Heche si shaidi?bado wapo kwenye Msingi wa Kesi ya uhaini,anaulizwa maswali ya kumuondolea credibility akionekana sio msafi,mla rushwa ushaidi wake(utetezi) hautachukuliwa serious na mahakama,ndio maana wanamuuliza hadi magari manne kakununulia nani?Jezi ya Arsenal umetoa wapi??Hizo ni account za shahidi!? Mi naona pande zote zinafanya siasa badala ya kujikita kwenye msingi wa case yaani uhaini
Heche ni mshatikiwa au shahidi? Igp cdf na kingai wakipanda mahamkamani lisu ataruhusiwa kupewa statement zao za bank na document za magari na nyumbaa?Bank kutoa statement ya mteja katika kesi ya uhaini unashangaa?si ndio sheria zipo hivyo??Sheria ya usalama wa Taifa by the way,.kama kuna jinai,ugaidi,treason,bank inatoa ushaidi vizuri tu..
Unaonyesha upumbavu, hapo hapo unadhani wewe ni mjuaji.Bank kutoa statement ya mteja katika kesi ya uhaini unashangaa?si ndio sheria zipo hivyo??Sheria ya usalama wa Taifa by the way,.kama kuna jinai,ugaidi,treason,bank inatoa ushaidi vizuri tu..
Sasa sijui kama watataka Heche atoe ufafanuzi wa hiyo mali aliyonayo. Hii nayo sasa imekuwa kesi nyingine ndani ya kesi halisi?Kilichonishangaza zaidi ni Jaji kukubali hivyo vitu viende hivyo hivyo. Tumefika kugumu sana
Sasa Heche si shaidi?bado wapo kwenye Msingi wa Kesi ya uhaini,anaulizwa maswali ya kumuondolea credibility akionekana sio msafi,mla rushwa ushaidi wake(utetezi) hautachukuliwa serious na mahakama,ndio maana wanamuuliza hadi magari manne kakununulia nani?Jezi ya Arsenal umetoa wapi??
Lakini Heche sio mtuhumiwa, na wala taarifa zake za bank hazihusiani na kesi ya msingi. Ama na sheria yenye nia ovu?Bank kutoa statement ya mteja katika kesi ya uhaini unashangaa?si ndio sheria zipo hivyo??Sheria ya usalama wa Taifa by the way,.kama kuna jinai,ugaidi,treason,bank inatoa ushaidi vizuri tu..
Heche ni shahidi si mtuhumiwa, use your common sense.Bank kutoa statement ya mteja katika kesi ya uhaini unashangaa?si ndio sheria zipo hivyo??Sheria ya usalama wa Taifa by the way,.kama kuna jinai,ugaidi,treason,bank inatoa ushaidi vizuri tu..