CRDB ya Nsekela, kwa watu wanaofuatilia pattern, ilibidi waipige chini muda mrefu

Kushutumu bila ushahidi sio jambo zuri,kama una ushahidi wa huo ufisadi hebu uweke hadharani,vinginevyo nyamaza bro
Ushahidi utakusaidia nini wewe kilaza.

Bakia na ujinga wako, hivi unadhani ushahidi utakusaidia nini kama wale wanaopaswa kusimamia sheria za nchi hii ndo wavurugaji namba moja?

Usiwe mjinga kiasi hicho labda kama na wewe ni mnufaika wa mifumo hii mibovu.
 
Kilicholetwa mahakamani sio bank statement ya Heche ni pay in slip za salman aliyefanya deposit kwenye akaunti ya Heche
Nsekela na crdb kwa ujumla hizi lawama mnawatwisha mzigo sio wa kwao, lawama apewe salman.
Kabisa. Hizi si bank statements. Ni deposit slips kutoka kwa wakala wa benki. Anayekwenda kwa wakala kuweka pesa ndiye anayepewa deposit slip.

Mwenye akaunti atapata notification kutoka mifumo ya benki.

Huyu Salman ni nani?
 
As long as CCM wapo madarakani hakuna
 
Kilaza ni wewe ambae hata la saba hujafika,unaweza kudiriki kusema eti ushahidi utasaidia nini? shubamiti mbumbumbu wewe
 
Nilishaachana nao muda mrefu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…