Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Wakuu Cristiano Ronaldo ameitoa sababu ya kuachana na Irina Shayk.
Cr7 anasema Kwamba Tulielewana sana, lakini alikuwa na tabia ya kusema: 'Kwanini unamleta mama yako kila mahali tunakokwenda? Lazima uchague kati yangu na yeye
Cr7 anaeleza pia Kwamba Nilimjibu kuwa Sitoweza kamwe kumtelekeza mama yangu kwa sababu ya mwanamke mwingine (Aliamua kuachana naye kwa sababu Irina Shayk alitaka Ronaldo asiwe anatembea na Mama yake kila mda).Sijutii kuachana naye
RESPECT Sana kwa Cr7, Hakika Huu Ndio Msimamo Wa Kiume [emoji1374][emoji3590]