Cristiano Ronaldo aeleza sababu ya kuachana na Irina Shayk

Cristiano Ronaldo aeleza sababu ya kuachana na Irina Shayk

Watu mnatetea kisa aliyefanya hivyo ni Ronaldo lakini hii inamaanisha Ronaldo ni mama's boy.

Watu wa hivi ukikorofishana nao wanakimbilia kwa mama.

Hafanyi kitu mpaka go ahead ya mama.

Ukitaka akupende mpende mama yake.
Ndo maan wanaume wengi wanashindwa kutulia ktk ndoa, kisa kuendekeza mama zao, watawle mahusiano yao.
 
Hilo ni swali fikirishi la huyo dada;

Angalieni swali lake kabla hamjaanza kumuhukumu swali ni; ""Kwanini unamleta mama yako KILA MAHALI tunapokwenda??""--- maneno "kila mahali" ndiyo msingi wa tatizo.
Wanajitoa ufahamu tyuuuh.
 
Wakuu Cristiano Ronaldo ameitoa sababu ya kuachana na Irina Shayk.

Cr7 anasema Kwamba Tulielewana sana, lakini alikuwa na tabia ya kusema: 'Kwanini unamleta mama yako kila mahali tunakokwenda? Lazima uchague kati yangu na yeye

Cr7 anaeleza pia Kwamba Nilimjibu kuwa Sitoweza kamwe kumtelekeza mama yangu kwa sababu ya mwanamke mwingine (Aliamua kuachana naye kwa sababu Irina Shayk alitaka Ronaldo asiwe anatembea na Mama yake kila mda).Sijutii kuachana naye

RESPECT Sana kwa Cr7, Hakika Huu Ndio Msimamo Wa Kiume [emoji1374][emoji3590]View attachment 1825507
Upo sahihi kristian lonado
 
Ni amemchoka tu, hilo la Mama ni kutafuta sababu. Angekuwa bado anamuhitaji bado angehakikisha anambembeleza na kumsisitiza azoee hayo maisha.
 
Kumbe mama mkwe ni balaa hadi kwa wazungu![emoji124][emoji124][emoji124]


Kwanini iwe Mama mkwe na isiwe mkamwana?

Mimi naona shida ni wakamwana zaidi ya mama wakwe.

Yani mkemwana anajidai kumpenda mume lakini anachukia wazazi wake hiyo inaingia akilini kweli?!
 
Kwenye jamii zetu imefika mahali inasemekana mzazi ukizaa watoto wakiume tu ujue unamtihani maana umezalia wenzio.

Mtoto wa kiume akishaoa basi atajali mkewe na ndugu wa mke basi[emoji108][emoji108][emoji108]

Labda awe na zindiko kali asirogeke kirahisi.

Au awe mtu wa kwenda kucheki mwili wake na kuondoa ulozi.

Vinginevyo habari na wazazi hatakuwa nazo na ndugu zake ndiyo kabisa.
 
Kuna familia nyingine kuna mkamwana aliibua ugomvi mkubwa sana kosa Kwanini Mama mkwe amekuja bila taarifa?

Nakwambia simu akapiga kila mahali amepanic Kwanini mamamkwe amekuja kwa Mtoto wake bila taarifa?
 
Wengi wanawatia Mama mkwe ila.

Mara wawaone kama wachawi mara wachafu ilimradi wanawachukia tu shauri ya mapokeo na kukosa upendo wa kimungu.
 
Back
Top Bottom