Cristiano Ronaldo aeleza sababu ya kuachana na Irina Shayk

Cristiano Ronaldo aeleza sababu ya kuachana na Irina Shayk

Irina hata Super Mario Ballotelli alishatambaa nae, na kabla ya CR7 ilikuwa ngoma ya Sergio RAMOS
 
Mtoto hakui kwa Mama ila Demu alikuwa yupo right sababu Biblia yao inasema Mume aambatane na mkewe haisemi aambatane na Mama yake... lol
 
Mtoto hakui kwa Mama ila Demu alikuwa yupo right sababu Biblia yao inasema Mume aambatane na mkewe haisemi aambatane na Mama yake... lol

Kama hauijui biblia tafadhali
usichanganye biblia na mambo ya kijinga!
umeishasema tayari alikuwa DEMU
na Biblia hakuna sehemu inazungumzia uambatane na DEMU!!
bali ni MKE, nae wala hakuwa mke.
Kwani baada ya kuachwa na CR si alifanya mbwembwe na Bradley Cooper?
sasa Cooper nae ni mama pia alisababisha wakaachana?
Sio kila mwanamke anafaa kuwa mke!
Eti demu alikuwa yupo right!!!!!!!!!
CR was right.
 
Escort Wa Nn Mkuu
ipo hivi, wewe ni ofisa wa serikali, unasafiri zako toka dar au mwanza. unaelekea dodoma kwenye vikao vya wizara. unasafiri kwa gari binafsi, la umma au ndege.

katika safari yako unaambatana na mwanamke au mwanamke atakufata dodoma siku inayofata baada wewe kumtumia nauli.

baada kufika dodoma, atakuwa analala na wewe chumba kimoja katika hotel au lodge uliyofikia akikutimizia mahitaji ya kingono kwa siku zote ambazo utakuwa unahudhuria vikao.

naam, hio ndio wazungu wanaita escort prostitution.

mwanamke wa aina hii anaweza kuwa hawala yako wa siku nyingi, nyumba ndogo yako au mwanamke mliyefahamiana kwa mda mfupi. so long as anaambatana na wewe safarini, she is regarded as an escort prostitute.

hii ya dar to dodoma ni mfano tu, ila ipo escort prostitution inayofanywa kimataifa. destination kubwa ya international escort prostitution ni dubai. wafanyabiashara wakubwa, wanasiasa, ma-CEO na five stars celebrities, dubai ndio safe heaven yao ya "kuwabandua" makahaba wa kimataifa. huwa wanawatumia tiketi za ndege za kwenda dubai kwa kazi hiyo tu.
 
Wakuu Cristiano Ronaldo ameitoa sababu ya kuachana na Irina Shayk.

Cr7 anasema Kwamba Tulielewana sana, lakini alikuwa na tabia ya kusema: 'Kwanini unamleta mama yako kila mahali tunakokwenda? Lazima uchague kati yangu na yeye

Cr7 anaeleza pia Kwamba Nilimjibu kuwa Sitoweza kamwe kumtelekeza mama yangu kwa sababu ya mwanamke mwingine (Aliamua kuachana naye kwa sababu Irina Shayk alitaka Ronaldo asiwe anatembea na Mama yake kila mda).Sijutii kuachana naye

RESPECT Sana kwa Cr7, Hakika Huu Ndio Msimamo Wa Kiume [emoji1374][emoji3590]View attachment 1825507
Hata mi nisingeweza
Eboooo sa tutakuwa na muda wetu sangapi km kila wakati tupo na mama?
 
Irina Shayk ndo dezign ya akina Irine Uwoya, Kajala, Sepetu. Mwanamke asiyependa uwepo wa mama yako mzazi huyo kwa hakika hakuna mapenzi hapo na wewe,

Mama zetu wamepitia magumu sana hata historia ya mafanikio yako na Ronaldo mwenyewe 90% ni mama zetu...

Hapo nina hakika Ronaldo kaliweka kwa lugha laini tu ila itakuwa kulikuwa na viashiria vingi vya Shayk kumpoteza jamaa kwenye starehe mama akashtkukia chezo.....

Usipokuwa karibu na mama yako wakati wa mafanikio na umezungukwa na wanawake kuanguka ni rahisi mnooo....
 
Nashauri apewe ukuu wa wilaya pale chato kama sio kisarawe apokonywe nikki wa pili
 
Watu mnatetea kisa aliyefanya hivyo ni Ronaldo lakini hii inamaanisha Ronaldo ni mama's boy.

Watu wa hivi ukikorofishana nao wanakimbilia kwa mama.

Hafanyi kitu mpaka go ahead ya mama.

Ukitaka akupende mpende mama yake.
Kwan kuna ubaya gan ikizingatiwa sio mke wa ndoa aisee acha mama afanye aenjoy
 
Back
Top Bottom