secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,637
Wapi Christiano ameandika alikuwa analala chumba kimoja na mama na mke!!?....Mama alipaswa kuwapa nafasi, sio kila mahali awepo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi Christiano ameandika alikuwa analala chumba kimoja na mama na mke!!?....Mama alipaswa kuwapa nafasi, sio kila mahali awepo.
Aah wapi,ndo twende wote kila mahali!?
Chief kumbe kwenye hizi nyuzi pia umoo🤭🤭Ronaldo Ana misimamo sana aisee, ukiangalia maisha yake ya umaskini aliokulia na mpaka Leo Hana ulimbukeni wa hela unaelewa ni mtu wa Aina gani.
Hana tattoo, anafanya mazoezi kama sio super star na siku zote anakumbuka alikotoka.
Na kumpenda mama yako sio kwamba ni mama's boy, Kuna watu wanadeka kweli kwa mama zao na hawawapendi mama zao.
kabisaHii Taarifa ya Cr7 ilitakiwa iwe inasomwa kila siku Azam TV baada ya taarifa ya habari.
Kabisa yani.. sasa kunatatizo hapo?Watu mnatetea kisa aliyefanya hivyo ni Ronaldo lakini hii inamaanisha Ronaldo ni mama's boy.
Watu wa hivi ukikorofishana nao wanakimbilia kwa mama.
Hafanyi kitu mpaka go ahead ya mama.
Ukitaka akupende mpende mama yake.
We jamaa bwana 🤣🤣🤣🤣Escort Wa Nn Mkuu
Kwa kifupi wanawake wengi wako hivyo..na ukishaoa bwana sio Kila mtoko unakaribisha mama .kuna mitoko mwatakiwa toka wawili .ila sio Kila mtoko hutaki mama aje wakati mimi ndio nalioia Kila kitu .nikienda sehemu nzuri na mama yuko lonely lazima niende nae .mabinti wanakoseaga hapo kutaka chukua nafasi za mama zetu .mama amenilea siwezi kumtupa kwa sababu ya wewe tuliejuana ukubwaniHilo ni swali fikirishi la huyo dada;
Angalieni swali lake kabla hamjaanza kumuhukumu swali ni; ""Kwanini unamleta mama yako KILA MAHALI tunapokwenda??""--- maneno "kila mahali" ndiyo msingi wa tatizo.
Kwa kifupi wanawake wengi wako hivyo..na ukishaoa bwana sio Kila mtoko unakaribisha mama .kuna mitoko mwatakiwa toka wawili .ila sio Kila mtoko hutaki mama aje wakati mimi ndio nalioia Kila kitu .nikienda sehemu nzuri na mama yuko lonely lazima niende nae .mabinti wanakoseaga hapo kutaka chukua nafasi za mama zetu .mama amenilea siwezi kumtupa kwa sababu ya wewe tuliejuana ukubwani
Siyo kila mahari , mbona huyu waliye naye hawapo na mama yake kila sehemu , sema labda mdada alikuwa na yake tuu....Mama alipaswa kuwapa nafasi, sio kila mahali awepo.
Unamaanisha hata chumbani kwao? Hata kitandani kwao? Swali fikirishi kweli!Hilo ni swali fikirishi la huyo dada;
Angalieni swali lake kabla hamjaanza kumuhukumu swali ni; ""Kwanini unamleta mama yako KILA MAHALI tunapokwenda??""--- maneno "kila mahali" ndiyo msingi wa tatizo.
That's me no mama no geroWatu mnatetea kisa aliyefanya hivyo ni Ronaldo lakini hii inamaanisha Ronaldo ni mama's boy.
Watu wa hivi ukikorofishana nao wanakimbilia kwa mama.
Hafanyi kitu mpaka go ahead ya mama.
Ukitaka akupende mpende mama yake.
Wanaume wa huku bongo wengi hurogwa kiasi kwamba hata wazazi wao wakichukiwa na wake zao huona sawa tu.
Inasikitisha sana.
Mimi nilisoma sehemu huyo Irina alikuwa escort..na Sepp Blatter aliwahi pita nae..
Not sure kama kweli