Bila ya yeye ungemjua uyo mwanaume unaempenda...unajua uyo mama alihangaika kiasi gani mpaka mwanae akiwa hivyo akampata yeye??.Ndo maan wanaume wengi wanashindwa kutulia ktk ndoa, kisa kuendekeza mama zao, watawle mahusiano yao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila ya yeye ungemjua uyo mwanaume unaempenda...unajua uyo mama alihangaika kiasi gani mpaka mwanae akiwa hivyo akampata yeye??.Ndo maan wanaume wengi wanashindwa kutulia ktk ndoa, kisa kuendekeza mama zao, watawle mahusiano yao.
Ahsante sana.Hongera
Ni sawa, ila isiwe 7bu ya yey kutawala mahusiano yetu, ndo maan mwanae akamuacha yey akaja kwangu tuanzishe mahusiano, lisisahaulike hili.Bila ya yeye ungemjua uyo mwanaume unaempenda...unajua uyo mama alihangaika kiasi gani mpaka mwanae akiwa hivyo akampata yeye??.
Ronaldo si mzungu mwenye NYWELE ZA BLONDE NA MACHO YA KIJANI......Wakuu Cristiano Ronaldo ameitoa sababu ya kuachana na Irina Shayk.
Cr7 anasema Kwamba Tulielewana sana, lakini alikuwa na tabia ya kusema: 'Kwanini unamleta mama yako kila mahali tunakokwenda? Lazima uchague kati yangu na yeye
Cr7 anaeleza pia Kwamba Nilimjibu kuwa Sitoweza kamwe kumtelekeza mama yangu kwa sababu ya mwanamke mwingine (Aliamua kuachana naye kwa sababu Irina Shayk alitaka Ronaldo asiwe anatembea na Mama yake kila mda).Sijutii kuachana naye
RESPECT Sana kwa Cr7, Hakika Huu Ndio Msimamo Wa Kiume [emoji1374][emoji3590]View attachment 1825507
Wa Gari iliyobeba Pesa za bank mkuu.Escort Wa Nn Mkuu
Hilo hakuna alipingaye.....Ni sawa, ila isiwe 7bu ya yey kutawala mahusiano yetu, ndo maan mwanae akamuacha yey akaja kwangu tuanzishe mahusiano, lisisahaulike hili.
Basi heshimu yule aliefanya mm na ww tukaja kuanzisha hayo mahusiano...bila yeye wewe usingenijua mm na tusingeanzisha hayo mahusianoNi sawa, ila isiwe 7bu ya yey kutawala mahusiano yetu, ndo maan mwanae akamuacha yey akaja kwangu tuanzishe mahusiano, lisisahaulike hili.
Pia hyo biblia imeandika Baba ni mungu wa pili baada ya muumba
Biblia inamuhusisha Baba kama mungu wa pili, hao wengine wanauhusika wao ila si katika swala la uungu.Na mama je ni Mungu wa ngapi??, bado Babu na Bibi nao ni Miungu ya ngapi??---- hiyo Miungu inapaswa kuabudiwa kipindi gani??
Biblia inamuhusisha Baba kama mungu wa pili, hao wengine wanauhusika wao ila si katika swala la uungu.
Si bora huyo mama wa Ronaldo. Huku bongo mama sadala aliamua kuvuta jiko kabisa na kulipaki kwenye nyumba ya Domo. Yani kwenye mtoko anakuwepo anko Shamte na mkewe, Diamond na mwanamke wake wa wakati huo na mambo yanaenda fresh tuuu.....Mama alipaswa kuwapa nafasi, sio kila mahali awepo.
Inatokea na mwanaume husika, wengine tuna slide na life tyuuuh. [emoji23][emoji23]Hilo hakuna alipingaye.....
Ila ni vyema pia mwanamke kuisoma historia ya Maisha ya bwana wake......
Waliotokea maisha magumu huwa ni tofauti Sana na macelebrities waliotokea "higher social classes"....
Kwani wee irina shayk umemuelewa vipi?Basi heshimu yule aliefanya mm na ww tukaja kuanzisha hayo mahusiano...bila yeye wewe usingenijua mm na tusingeanzisha hayo mahusiano
Naona wanawake wamekuunga mkonoWatu mnatetea kisa aliyefanya hivyo ni Ronaldo lakini hii inamaanisha Ronaldo ni mama's boy.
Watu wa hivi ukikorofishana nao wanakimbilia kwa mama.
Hafanyi kitu mpaka go ahead ya mama.
Ukitaka akupende mpende mama yake.
Wewe unatakaje kwani?Watu mnatetea kisa aliyefanya hivyo ni Ronaldo lakini hii inamaanisha Ronaldo ni mama's boy.
Watu wa hivi ukikorofishana nao wanakimbilia kwa mama.
Hafanyi kitu mpaka go ahead ya mama.
Ukitaka akupende mpende mama yake.
Tulia kinabo wa darajani weweWewe unatakaje kwani?
Hakika kabisa yaan aunt. Na iwe hivyo.Mimi mama mkwe wa baadae
Mungu nipe busara nisiwe chanzo cha kuvuruga mahusiano ya vijana wangu.
Mtihani sana wallah
Haaaah mie sina nyota yeyote, nashukuru nikakutana na chaguo langu, bas mambo muswano.na yamejipa vilivyo.
Tuachane kwa lipi sasa? [emoji23][emoji23][emoji23]Mtaachana tuu [emoji16][emoji16]