Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Escort Wa Nn MkuuMimi nilisoma sehemu huyo Irina alikuwa escort..na Sepp Blatter aliwahi pita nae..
Not sure kama kweli
Escorts ni jina lingine la makahaba.. prostituteEscort Wa Nn Mkuu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Wa Kwetu sikujua Bana [emoji120]Escorts ni jina lingine la makahaba.. prostitute
Alitaka uhuru wa kuwa na baby jamani, kwanini kujibanabana na mamkwe?Wanawake sijui mpewe nn
Kwanini unamleta mama yako kila mahali tunakokwenda?
Ronaldo Ana misimamo sana aisee, ukiangalia maisha yake ya umaskini aliokulia na mpaka Leo Hana ulimbukeni wa hela unaelewa ni mtu wa Aina gani.Watu mnatetea kisa aliyefanya hivyo ni Ronaldo lakini hii inamaanisha Ronaldo ni mama's boy.
Watu wa hivi ukikorofishana nao wanakimbilia kwa mama.
Hafanyi kitu mpaka go ahead ya mama.
Ukitaka akupende mpende mama yake.
Kabisa, basi ashikilie hapo hapo kwa Kanye patamfaa maana mama yake Kanye alishatangulia.Alitaka uhuru wa kuwa na baby jamani, kwanini kujibanabana na mamkwe?
Hii Taarifa ya Cr7 ilitakiwa iwe inasomwa kila siku Azam TV baada ya taarifa ya habari.Kila mmoja ana nafasi yake katika moyo wa mwanaume ,Ronaldo ana haki ya kusema hivyo mama ndoo Mungu wa pili baada ya kumuondoa Mungu muumba ,Thanks Ronaldo Mungu akulinde sana.
Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
nampa 5 cr7Watu mnatetea kisa aliyefanya hivyo ni Ronaldo lakini hii inamaanisha Ronaldo ni mama's boy.
Watu wa hivi ukikorofishana nao wanakimbilia kwa mama.
Hafanyi kitu mpaka go ahead ya mama.
Ukitaka akupende mpende mama yake.