Cristiano Ronaldo aeleza sababu ya kuachana na Irina Shayk

Ndo maan wanaume wengi wanashindwa kutulia ktk ndoa, kisa kuendekeza mama zao, watawle mahusiano yao.
Bila ya yeye ungemjua uyo mwanaume unaempenda...unajua uyo mama alihangaika kiasi gani mpaka mwanae akiwa hivyo akampata yeye??.
 
Ni sawa, ila isiwe 7bu ya yey kutawala mahusiano yetu, ndo maan mwanae akamuacha yey akaja kwangu tuanzishe mahusiano, lisisahaulike hili.
 
Ronaldo si mzungu mwenye NYWELE ZA BLONDE NA MACHO YA KIJANI......

Damu ya mbali ya kiafrika inazunguka mishipani mwake.....

MADEMU WALIBERALI "wangeesee" saaana.....
 
Ni sawa, ila isiwe 7bu ya yey kutawala mahusiano yetu, ndo maan mwanae akamuacha yey akaja kwangu tuanzishe mahusiano, lisisahaulike hili.
Hilo hakuna alipingaye.....

Ila ni vyema pia mwanamke kuisoma historia ya Maisha ya bwana wake......

Waliotokea maisha magumu huwa ni tofauti Sana na macelebrities waliotokea "higher social classes"....
 
Basi heshimu yule aliefanya mm na ww tukaja kuanzisha hayo mahusiano...bila yeye wewe usingenijua mm na tusingeanzisha hayo mahusiano
 
Pia hyo biblia imeandika Baba ni mungu wa pili baada ya muumba

Na mama je ni Mungu wa ngapi??, bado Babu na Bibi nao ni Miungu ya ngapi??---- hiyo Miungu inapaswa kuabudiwa kipindi gani??
 
Biblia inamuhusisha Baba kama mungu wa pili, hao wengine wanauhusika wao ila si katika swala la uungu.
 
Hilo ni andiko la mtu ndani ya Biblia.

Kumbuka Biblia imekusanya maandiko ya:- watu, kauli za Manabii na kauli za Mungu kupitia manabii.
 
....Mama alipaswa kuwapa nafasi, sio kila mahali awepo.
Si bora huyo mama wa Ronaldo. Huku bongo mama sadala aliamua kuvuta jiko kabisa na kulipaki kwenye nyumba ya Domo. Yani kwenye mtoko anakuwepo anko Shamte na mkewe, Diamond na mwanamke wake wa wakati huo na mambo yanaenda fresh tuuu.
 
Hilo hakuna alipingaye.....

Ila ni vyema pia mwanamke kuisoma historia ya Maisha ya bwana wake......

Waliotokea maisha magumu huwa ni tofauti Sana na macelebrities waliotokea "higher social classes"....
Inatokea na mwanaume husika, wengine tuna slide na life tyuuuh. [emoji23][emoji23]
 
Basi heshimu yule aliefanya mm na ww tukaja kuanzisha hayo mahusiano...bila yeye wewe usingenijua mm na tusingeanzisha hayo mahusiano
Kwani wee irina shayk umemuelewa vipi?
 
Watu mnatetea kisa aliyefanya hivyo ni Ronaldo lakini hii inamaanisha Ronaldo ni mama's boy.

Watu wa hivi ukikorofishana nao wanakimbilia kwa mama.

Hafanyi kitu mpaka go ahead ya mama.

Ukitaka akupende mpende mama yake.
Naona wanawake wamekuunga mkono
 
Mimi mama mkwe wa baadae
Mungu nipe busara nisiwe chanzo cha kuvuruga mahusiano ya vijana wangu.
Mtihani sana wallah
 
Watu mnatetea kisa aliyefanya hivyo ni Ronaldo lakini hii inamaanisha Ronaldo ni mama's boy.

Watu wa hivi ukikorofishana nao wanakimbilia kwa mama.

Hafanyi kitu mpaka go ahead ya mama.

Ukitaka akupende mpende mama yake.
Wewe unatakaje kwani?
 
Mimi mama mkwe wa baadae
Mungu nipe busara nisiwe chanzo cha kuvuruga mahusiano ya vijana wangu.
Mtihani sana wallah
Hakika kabisa yaan aunt. Na iwe hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…