Cristiano Ronaldo asujudu baada ya kufunga goli muhimu

Cristiano Ronaldo asujudu baada ya kufunga goli muhimu

Mbona hata Pope John Paul II, alipokuja Tanzania mwaka 1990 alisujudu pale Dar es Salaam International Airport (DIA) sasa JKIA . Alisujudu wakati wa kufika na wakati wa kuondoka.
Lazima afanye vile, Papa akienda nchi yeyote lazima asujudu, Rais alitoa mkono lakini hakuupokea mpaka aliposujudu, na hata nyakati nyingine huwa wanabusu ardh.

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mzee wetu hapa mtaani ameleta magari ya nyama na kuamuru tugawiwe kilo kumikumi kila nyumba.
Tulipouliza ni kwa ajili ya nini akadai ni kusherehekea Ronaldo kusujudu.
Nakuja JF kumbe ni kweli Ronaldo baada ya kufunga goli alisujudu kama wafanyavyo Wayahudi
 
Hakuna picha au video ndani ya Qur'an, kuna maandishi kwa wenye akili wataelewa.

Isome Qur'an.
Kumbe unazungumzia maandishi ya kiarabu...Sasa si yameandikwa na watu Faiza...Sasa si wametunga mapokeo yao tu hakuna ushahidi wowote zaidi ya simulizi za kutunga
 
Ma shaa Allah, nawashangaa wakristo wa Tanzania hata misikitini mnaogopa kutembelea na kujionea Waislam wanaabudu vipi.
Nasikia kuna majini yanafugwa ambayo nayo yanamuabudu mungu wa kiarabu anaeitwa allah??? Ni kweli Faiza?????
 
Kumbe unazungumzia maandishi ya kiarabu...Sasa si yameandikwa na watu Faiza...Sasa si wametunga mapokeo yao tu hakuna ushahidi wowote zaidi ya simulizi za kutunga
Chalkenge miaka zaidi ya 1400 leo muandike japo aya moja tu mithili yake, tena nshirikiane wote, mmeshindwa npaka sasa.

Huo ni zaidi ya muujiza.
 
Ukiona Muislam anatukana na kusengenya jamii nyingine elewa kuwa huyo ni Muislam jina tu, hafati nafundisho ya Kiislaam.
Sasa mbona wewe unasengenya mapokeo ya wakrsto na imani yao ya kumwita Yesu ni Mungu...Unalazimisha unachoamini wewe
 
Nasikia kuna majini yanafugwa ambayo nayo yanamuabudu mungu wa kiarabu anaeitwa allah??? Ni kweli Faiza?????
Mungu wa kiarabu mimi simfahamu. Mimi nafahamu Allah ni pekee Muumba mbingu na ardhi na vyote vilivyomo.
 
Back
Top Bottom