Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Faiza hajui kua wakrsto na wayahudi wanasujudu pia.Ungejua hata wakristu wanasujudu usingepiga kelele hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Faiza hajui kua wakrsto na wayahudi wanasujudu pia.Ungejua hata wakristu wanasujudu usingepiga kelele hapa
Mashaallah...
[/QUOTE Mkuu na mimi naslimu mnipe binti hapo home kigogo.
Unachoamini wewe kuna wengine hawaamini.Dini zote za kiislamu na kikrsto ni adithi za historia zao na mapokeo ya kufikirika ya jamii za wayahudi na waarabu.Hazina ushahidi zaidi ya maneno matupuSimbishii mtu, nataka ushahidi wapi Yesu kasema "mimi Mungu" au "niabuduni".
Kumbuka kuwa Waislaam tunaamini Yesu alayhi salaam ni mtume, siyo Mungu.
Faiza muumba wake ndio yupi huyo maana kila dini ina mungu wake...Mfano mimi aliyeniumba sio Mungu wa kiarabu anayeitwa Allah.Hakuna shida, yeye hakucheza kilokoke kacheza kwa kusujudu kwa Muumba wake, kumbuka hana njaa huyo.
Hawajiamini na dini yao.Faiza hajui kua wakrsto na wayahudi wanasujudu pia.
Fafanua mkuuHawajiamini na dini yao.
Hata Michael Jackson walizushaga ameslim wenzetu hawajiamini na dini yao.Faiza hajui kua wakrsto na wayahudi wanasujudu pia.
Dini inategemea kikiFafanua mkuu
Vp kuhusu waislamu wanaohamia dini nyingine mbona waga Faiza hawazungumziii????Hata Michael Jackson walizushaga ameslim wenzetu hawajiamini na dini yao.
Mkuu kwahiyo bila watu maarufu hiyo dini haina kiki???Dini inategemea kiki
Ndiyo usheitwani unachezwa hapo hapo kwaoNyie so huwa mnasema kucheza mpiraa Allllaah hapendi Ni Mambo ya kisheitwani
Mbona hata Pope John Paul II, alipokuja Tanzania mwaka 1990 alisujudu pale Dar es Salaam International Airport (DIA) sasa JKIA . Alisujudu wakati wa kufika na wakati wa kuondoka, tena alielekea kibla. Sijui kuelekwa kibla ilikuwa makusudi au coincidence tu.View attachment 2633895
Baada ya kupiga bao muhimu Ronaldo akashangilia kwa kusujudu kama wafanyavyo Waislam.
Huu ni mwanzo wa Ronaldo kusilimu au ni raha za furaha iliyopitiliza (euphoria)?
Tumewahi kumuona mara nyingi, kama si zote, kila Ronaldo anapopiga bao huwa na kawaida ya kufanya ishara ya alama ya msalaba, kwa mara ya kwanza na ya kushangaza tunamuona Ronaldo akisujudu kama wafanyavyo Waislam uwanjani baada ya kupiga bao.
Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar.
Unajua maana ya rafiki?Sana, kwanini uabudu binaadam mwenzio?
Wewe kwani siyo rafiki kwangu?
Mm naslimu nikuoe Faiza..... Usinifanyie fitinaSana, kwanini uabudu binaadam mwenzio?
Wewe kwani siyo rafiki kwangu?
....Kweli mzungu si mwenzangu, isipokuwa hivi sasa tunaona kumekuwa na "trend" ya wazungu wengi kusilim duniani. Tunaomba In shaa Allah soon tushuhudie Ronaldo akisilim.
Upumbavu huu. Mtaacha lini? Kusujudu wanasujudu Wapagani, wakristo na Waislamu. Yaani hii ni dhana ya kipumbavu mpaka nawaza kwa nini baadhi ya watu hampendi Elimu? Biblia inasema mara nyingi tu suala la kusujudu. Na mwezi na nyota basi ni vya waislamu. 😁View attachment 2633895
Baada ya kupiga bao muhimu Ronaldo akashangilia kwa kusujudu kama wafanyavyo Waislam.
Huu ni mwanzo wa Ronaldo kusilimu au ni raha za furaha iliyopitiliza (euphoria)?
Tumewahi kumuona mara nyingi, kama si zote, kila Ronaldo anapopiga bao huwa na kawaida ya kufanya ishara ya alama ya msalaba, kwa mara ya kwanza na ya kushangaza tunamuona Ronaldo akisujudu kama wafanyavyo Waislam uwanjani baada ya kupiga bao.
Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar.
Hawa watu hawana uelewa kabisa. Yaani mpaka nimeshangaa. Kusujudu kupo kabla ya Uisalmu kuwepo duniani.Kusujudu sio kwa waislam mpekee.