avogadro
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 8,082
- 14,457
We Mzee unayejufanya mwanamke , Ronaldo ni mkatoliki , na kuabudu kwa wakatoliki ndio hivyo labda hulijui vizuri kanisa Katoliki akili yako Ipo kwa wafanya mazingaumbwe akina mwamposa, jeo devi, ZUMARIDI nk wanaojifanga wakristu.View attachment 2633895
Baada ya kupiga bao muhimu Ronaldo akashangilia kwa kusujudu kama wafanyavyo Waislam.
Huu ni mwanzo wa Ronaldo kusilimu au ni raha za furaha iliyopitiliza (euphoria)?
Tumewahi kumuona mara nyingi, kama si zote, kila Ronaldo anapopiga bao huwa na kawaida ya kufanya ishara ya alama ya msalaba, kwa mara ya kwanza na ya kushangaza tunamuona Ronaldo akisujudu kama wafanyavyo Waislam uwanjani baada ya kupiga bao.
Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar.
Muhammad mwenyewe hayo matendo mufanyayo ya dini aliiga kutoka kwenye dini alizozikuta za Kiyahudi na Kikristu wakati anaanzisha dini yake . Hivyo relax dini yenu bado Ipo kwenye promotion na walidhani Christian kwenda huko wangemtumia kwenye ajenda za ku market dini yenu lakini imebuma