Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Muumba yupi sasa maana kila dini ina muumba wake????? Anaitwaje????Kwa Muumba wetu ni kwa wote, tujisalimishe kwake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muumba yupi sasa maana kila dini ina muumba wake????? Anaitwaje????Kwa Muumba wetu ni kwa wote, tujisalimishe kwake.
Vp unajua biashara yake ya ngono online na kuunganisha watu na prostitute,s?????? Hivi zile ndio bata alizokua anafanya pale Romania????Hapana, hana kesi na wala hana tuhuma, dhetia za nchi aliyopo zinaruhusu kuwekwa ndani wakati unachunguzwa mpaka mwendesha madhtaja aseme unstuhuna za kujibu ndiyo unatuhumumiwa, akisema hauna la kujibu ndiyo imetoka hiyo. Tena wana muda maalum wa uchunguzi.
Naifatilia sana mienendo yake. Hivi sasa yupo house arrest, anakula bata kama kawaida.
AllahNa nani?
Mbona unanidanganya bibi,,,wakati pale instabul tulikutana nae kwenye hizo mambo....Hiyo ni kabla hajasilimu. Sasa kasilim Allah atamjaalia kuwachana na dhambi zote. Amiin.
View attachment 2633895
Baada ya kupiga bao muhimu Ronaldo akashangilia kwa kusujudu kama wafanyavyo Waislam.
Huu ni mwanzo wa Ronaldo kusilimu au ni raha za furaha iliyopitiliza (euphoria)?
Tumewahi kumuona mara nyingi, kama si zote, kila Ronaldo anapopiga bao huwa na kawaida ya kufanya ishara ya alama ya msalaba, kwa mara ya kwanza na ya kushangaza tunamuona Ronaldo akisujudu kama wafanyavyo Waislam uwanjani baada ya kupiga bao.
Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar.
Mkuu sisi wengine tunajua kiswahili tu....وَرَأَيْتَ ٱلنَّاسَ يَدْخُلُونَ فِى دِينِ ٱللَّهِ أَفْوَاجًا
Yupi sasa mtaje??????Siyo kweli, Muumba ni mmoja tu. Zingine zote porojo za binaadam tu.
Pindi itakapokuja nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindiMkuu sisi wengine tunajua kiswahili tu....
Hayo yako unajitungia tu, ni fikra zako za kijinga tu.Bibi Faiza kwahiyo nyie waarabu na dini ya kiislamu wanawake ni zawadi mnamzawadia mtu yoyote????? Kwahiyo gangster MBS (Crown prince of Saud royal family) atamzawadia Christ mdogo wake alale nae?????
Messi alifuata Nini Saudi bila ruhusa kwa management ya PSG na alifanya makusudi akitambua ni kosa,na alivyorudi akapigwa suspension ya mechi kadhaa,na Kisha akajirecord anaomba msamaha,ule si unafiki alifanya,bro usikalili Kila kitu kizuri ni Cha mzungu,wazungu ni kama sisi tuMzungu sio mbongo, hawanaga unafiki kisa pesa.
Sister dini inakuchanganya achana nayo😀😀Kweli mzungu si mwenzangu, isipokuwa hivi sasa tunaona kumekuwa na "trend" ya wazungu wengi kusilim duniani. Tunaomba In shaa Allah soon tushuhudie Ronaldo akisilim.
Sister dini inakuchanganya achana nayo😀😀
Ronaldo na Messi wameshapagawa na pesa za wasaudi😀😀na soon Messi anaenda kucheza Saudi,ni alikuwa anatafuta sababu ya kuondoka PSG,juzi tu Ronaldo kawatukana mashabiki kwa ishara ya wanagongwa😀😀 Leo anainama kushangilia goli halafu mtu anadai atakuwa muislamu😀😀ila Kati ya watu wanaozeeka vibaya Ronaldo ni mmojawapo tutashuhudia mengi,na nimekuja gundua Messi ni mnafiki balaa,Bora Ronaldo anaonyesha Ego zake hadharaniMathayo 26 : 39 Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.
Bwana Yesu hakuwa Muislamu ila alisujudu.
Mwanzo 17 : 3 Abramu akaanguka kifudifudi. Mungu akamwambia, akasema,
Ibrahim hakuwa Muislamu
Christiano anamtumikia ... .. nani vile ili apate mradi wake