Cristiano Ronaldo asujudu baada ya kufunga goli muhimu

Cristiano Ronaldo asujudu baada ya kufunga goli muhimu

Sijamuona mimi akivuta, nnachofahamu kawekeza kwenye kilimo cha bangi na wateja wake ni makampuni ya kutengeneza madawa.
Faiza hujamuona Alhaji akivuta🤣🤣🤣🤣 Kwanza yule ni memba wa magenge ya kihuni ya Crips ila sijajua yupo branch ipi na kuvuta bangi kwao ni ibada.Mpaka akiwa anahojiwa na waandishi wa habari au watangazaji wa redio waga anavuta live...Au wewe hujawahi kuona???
 
View attachment 2633895

Baada ya kupiga bao muhimu Ronaldo akashangilia kwa kusujudu kama wafanyavyo Waislam.

Huu ni mwanzo wa Ronaldo kusilimu au ni raha za furaha iliyopitiliza (euphoria)?

Tumewahi kumuona mara nyingi, kama si zote, kila Ronaldo anapopiga bao huwa na kawaida ya kufanya ishara ya alama ya msalaba, kwa mara ya kwanza na ya kushangaza tunamuona Ronaldo akisujudu kama wafanyavyo Waislam uwanjani baada ya kupiga bao.

Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar.

Not a big deal, i can do that anytime does it make me a muslim nope
 
Kuna bingwa wa zamani wa kickboxing anaitwa Andrew Tate juzi juzi Kaiona nuru ya Uislam.

Umeipata hiyo?
Hiyo nimeipata, vipi na waislamu ambao wameuacha uislamu list yake umeipata?
 
Alivyotoka hapo akaenda kula zake kitimoto huku pembeni yake Kuna sanamu ya bikira maria
 
Safi sana, kaacha kufanya haramu.
Huyu alivyosilimu akkanza kumuiga muhammad , kufanya biashara ya utumwa na ubakaji

Controversial influencer Andrew Tate and his brother were released on Friday, March 31, after three months detention in Romania and moved to house arrest while they are investigated for alleged human trafficking and rape.

Tate, a British-American former kickboxer with millions of online followers, along with his younger brother and two Romanian women, are under investigation for allegedly "forming an organized criminal group, human trafficking and rape".
 
Muhuni tu yule anauza wanawake online na anaproduce porn videos.
 
Alikamatwa , ana kesi nzito
Hapana, hana kesi na wala hana tuhuma, dhetia za nchi aliyopo zinaruhusu kuwekwa ndani wakati unachunguzwa mpaka mwendesha madhtaja aseme unstuhuna za kujibu ndiyo unatuhumumiwa, akisema hauna la kujibu ndiyo imetoka hiyo. Tena wana muda maalum wa uchunguzi.

Naifatilia sana mienendo yake. Hivi sasa yupo house arrest, anakula bata kama kawaida.
 
Wewe umekaa Saudia sehemu gani???? I mean province ipi na mji upi?????? Afu sijakuelewa nimpe mshua pole ya nini kwani anaumwa au??????
mpe pole sababu alikaa karibu na ua waridi lakn hakunukia.amepata hasara ndo maana nakwambia umpe pole.sijawah kufika saudia.mimi ni muislam wa kuzaliwa mpaka kufa
 
Back
Top Bottom