Cristiano Ronaldo asujudu baada ya kufunga goli muhimu

Cristiano Ronaldo asujudu baada ya kufunga goli muhimu

Hii ya kusujudu ni kwa wanadamu wote bila kujali dini yao.
Ila sisi Wakristo tunafanya kwa moyomoyo kuliko kufanya kwa vitendo zaidi ambako ndani yake kuna unafiki.
Limtu linasujudu huku ndani kamweka mwanae ndondocha. Li mtu linasujudu huku mfukoni ana majini
😆😆😆
 
Hii ya kusujudu ni kwa wanadamu wote bila kujali dini yao.
Ila sisi Wakristo tunafanya kwa moyomoyo kuliko kufanya kwa vitendo zaidi ambako ndani yake kuna unafiki.
Limtu linasujudu huku ndani kamweka mwanae ndondocha. Li mtu linasujudu huku mfukoni ana majini.
Nitajie kiongozi wa dini ya mudi ambaye si mchawi nikate bakora yangu nisizae tena
Kwa matendo yao...

Tusidanganyane.
 
😆😆😆 Nilikua sijui kumbe ile style ya kushangilia ni style ya msalaba
Anhaa, leo umejuwa na umejuwa style ya kushangilia kwa kusujudu ni kujisalimisha kwa Allah kwa vitendo.
 
Sasa Alhaji Tyson anavuta mpaka akiwa saudia mecca hapo inakuaje bibi Faiza??????? Afu nimekuuliza maswali meengi mbona umeyakwepa kuyajibu???
Sijamuona mimi akivuta, nnachofahamu kawekeza kwenye kilimo cha bangi na wateja wake ni makampuni ya kutengeneza madawa.
 
Kuna bingwa wa zamani wa kickboxing anaitwa Andrew Tate juzi juzi Kaiona nuru ya Uislam.

Umeipata hiyo?
Tate alishakamatwa baada ya kusilimu akaanza kuiga matendo ya muhammad
Kafuata kuoa wanawake wengi
 
View attachment 2633895

Baada ya kupiga bao muhimu Ronaldo akashangilia kwa kusujudu kama wafanyavyo Waislam.

Huu ni mwanzo wa Ronaldo kusilimu au ni raha za furaha iliyopitiliza (euphoria)?

Tumewahi kumuona mara nyingi, kama si zote, kila Ronaldo anapopiga bao huwa na kawaida ya kufanya ishara ya alama ya msalaba, kwa mara ya kwanza na ya kushangaza tunamuona Ronaldo akisujudu kama wafanyavyo Waislam uwanjani baada ya kupiga bao.

Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar.
Kweli ajuza anatumia opium
 
Back
Top Bottom