Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Bibi Faiza kwahiyo Christ kakupigia simu kakuambia siku hizi anafuata dini ya kiarabu???? Pia unasrma kunatrend wazungu wanasilim vipi kuhusu waarabu wanaohamia dini nyingine hawatrend Bibi Faiza??????Kama usemayo ni kweli huoni kuwa kajirekebisha kwa vitendo? Hongera kwake.