Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,395
- 2,391
Naskia yupo msikitini muda huu anasilimishwa, unamzawadia nini wewe mana anaonekana ameugusa sana moyo wako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Michael Jackson aliundiwa conspiracy theories kuwa alisilimu.inanikumbusha watu kama
1. MICHAEL JACKSON
2. MIKE TYSON
3.
4.
5.
Wote hao vibaraka wa CIA kimataifa.......Vip waislamu waliobadili dini huko arabuni waga wanatrend au wanaishia jela........au kukimbia nchi zao????Muhammad Ali.
Uislamu unaruhusu bangi ndio maana Mike tyson hata akienda Mecca kuhiji anaenda na bangi kwenye luggage's zake.View attachment 2634083MIKE AKIWA NA SHAMBA LAKE LA BANGI
Kuna bingwa wa zamani wa kickboxing anaitwa Andrew Tate juzi juzi Kaiona nuru ya Uislam.Michael Jackson aliundiwa conspiracy theories kuwa alisilimu.
Waislamu wanapenda kuona mastaa wana silimu hali iliyopelekea kutengeneza habari za uongo
Anko angu alipata kuwa Mzee wa kanisa KKKT Mwanakwerekwe, Unguja. Kanzu za dizaini hii ndio lilikua vazi lake pendwa awapo nyumbani.Mambo yasiwe mengi
Huyu ndio mfano bora wa kuigwa wa kuhiji afu unakua balozi wa bangi.. Yeye na Dj Khaleed mzee wa kuchezea........top......!!!
Huyo ana baraka zote za serikali yake kufanya shamba la bangi.
sahizi uislam sio matendo ni jina tu sasa tate ameongeza nini kwenye uislamKuna bingwa wa zamani wa kickboxing anaitwa Andrew Tate juzi juzi Kaiona nuru ya Uislam.
Umeipata hiyo?
😆😆😆 Nilikua sijui kumbe ile style ya kushangilia ni style ya msalabaTumewahi kumuona mara nyingi, kama si zote, kila Ronaldo anapopiga bao huwa na kawaida ya kufanya ishara ya alama ya msalaba, kwa mara ya kwanza na ya kushangaza tunamuona Ronaldo akisujudu kama wafanyavyo Waislam uwanjani baada ya kupiga bao.
😆😆😆 Kivipi hapo ?Ronaldo ni mtaalamu wa kutafuta tension tu pacha ake mondi
Ustadh anakagua 😆