Cristiano Ronaldo asujudu baada ya kufunga goli muhimu

Cristiano Ronaldo asujudu baada ya kufunga goli muhimu

View attachment 2633895

Baada ya kupiga bao muhimu Ronaldo akashangilia kwa kusujudu kama wafanyavyo Waislam.

Huu ni mwanzo wa Ronaldo kusilimu au ni raha za furaha iliyopitiliza (euphoria)?

Tumewahi kumuona mara nyingi, kama si zote, kila Ronaldo anapopiga bao huwa na kawaida ya kufanya ishara ya alama ya msalaba, kwa mara ya kwanza na ya kushangaza tunamuona Ronaldo akisujudu kama wafanyavyo Waislam uwanjani baada ya kupiga bao.

Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar.
We Mzee unayejufanya mwanamke , Ronaldo ni mkatoliki , na kuabudu kwa wakatoliki ndio hivyo labda hulijui vizuri kanisa Katoliki akili yako Ipo kwa wafanya mazingaumbwe akina mwamposa, jeo devi, ZUMARIDI nk wanaojifanga wakristu.

Muhammad mwenyewe hayo matendo mufanyayo ya dini aliiga kutoka kwenye dini alizozikuta za Kiyahudi na Kikristu wakati anaanzisha dini yake . Hivyo relax dini yenu bado Ipo kwenye promotion na walidhani Christian kwenda huko wangemtumia kwenye ajenda za ku market dini yenu lakini imebuma
 
Ronaldo na Messi wameshapagawa na pesa za wasaudi😀😀na soon Messi anaenda kucheza Saudi,ni alikuwa anatafuta sababu ya kuondoka PSG,juzi tu Ronaldo kawatukana mashabiki kwa ishara ya wanagongwa😀😀 Leo anainama kushangilia goli halafu mtu anadai atakuwa muislamu😀😀ila Kati ya watu wanaozeeka vibaya Ronaldo ni mmojawapo tutashuhudia mengi,na nimekuja gundua Messi ni mnafiki balaa,Bora Ronaldo anaonyesha Ego zake hadharani
Duuh aliwaomba msamaha
 
Da
Bibi Faiza mimi mwenyewe pale Beirut nimesujudu sana nikala hela za washia na passport walinitengenezea washikaji wangu kutoka Abuja nilikua naitwa Abdul al Kareem al Majeed...Hakuna watu wepesi kucheza na akili zao kama waarabu kwa kupitia dini.....

.

Ukisilim zawadi anayokupa Allah hakuna ya mwanadam inayoweza kufikia hata chembe chake.
Na ukitoka uislamu ukaenda ukristo mungu hafurahi? Ndo maana rastafarians
Ronaldo Sio mzungu,hakuna mzungu anatokea Latini America.
Mzungu ni mzaliwa wa ulaya
Ronaldo tunamwitaje
Ronaldo Sio mzungu,hakuna mzungu anatokea Latini America.
Mzungu ni mzaliwa wa ulaya
We jamaa Bora ungetulia tu kwa iyo Portugal aka Ureno ipo Latin America? Au ata Ronaldo haumjui😀😀
 
Sasa wewe unataka kulazimisha wakrsto wamuabudu Allah wakati hawamtambui na kama una maswali kuhusu mapokeo yao kawaulize.Au unataka kulazimisha waislamu wamuabudu Yesu wakati hawamtambui...Kila dini hapa duniani ina Mungu wake kutokana na mapokeo ya dini husika Bibi Faiza.
Katika Uislam halazimishwi mtu kuabudu chochote atakacho.

Mimi nafikisha ujumbe tu.

Si unasema mzee wako aliishi Saudi Arabia miaka 15, muulize alilazimishwa na mtu jumuabudu Allah.

Jibu unalo.
 
Huwa siamini kama kuna mwisho wa dunia ila imani hiyo ilikoma pale nilipowaza, hivi ikitokea binadamu wote ulimwengu tukawa wafia uislam ndio mwisho utakuwa maana sio kwa vita zitakazopigwa dunia nzima na kujitoa mhanga kwa kulipuana na mabom kwa sana.
 
Hilo neno la "wafia Uislam" ni chuki za kujazwa ujinga tu.
. Ama unakufa nawe ni Muislam ama unakufa nawe ni kafiri, hakuna zaidi wala pungufu.
 
Hii ya kusujudu ni kwa wanadamu wote bila kujali dini yao.
Ila sisi Wakristo tunafanya kwa moyomoyo kuliko kufanya kwa vitendo zaidi ambako ndani yake kuna unafiki.
Limtu linasujudu huku ndani kamweka mwanae ndondocha. Li mtu linasujudu huku mfukoni ana majini.
Nitajie kiongozi wa dini ya mudi ambaye si mchawi nikate bakora yangu nisizae tena
Eh hii mpya kumbe kuna kusujudu kimoyomoyo
 
Da

Na ukitoka uislamu ukaenda ukristo mungu hafurahi? Ndo maana rastafarians

Ronaldo tunamwitaje

We jamaa Bora ungetulia tu kwa iyo Portugal aka Ureno ipo Latin America? Au ata Ronaldo haumjui😀😀
Na wewe nae ku quote posts kibao tukujibu nini sasa? Jifundishe kuitumia JF kwa manufaa. Kafanye editing um quote mmoja mmoja.
 
Katika Uislam halazimishwi mtu kuabudu chochote atakacho.

Mimi nafikisha ujumbe tu.

Si unasema mzee wako aliishi Saudi Arabia miaka 15, muulize alilazimishwa na mtu jumuabudu Allah.

Jibu unalo.
Sasa mbona unawabishia wakrsto na mapokeo yao ya kumwita Yesu Mungu.....Au unawalazimisha mapokeo yako ya kiislamu kua Yesu sio mungu au unajaribu kufikisha ujumbe kwa kulazimisha mapokeo ya dini yako Bibi Faiza....Afu cha pili wewe sio mujibu maswali unakwepa kwepa maswali yangu ninayokuuliza Bibi Faiza.
 
Sasa mbona unawabishia wakrsto na mapokeo yao ya kumwita Yesu Mungu.....Au unawalazimisha mapokeo yako kua Yesu sio mungu Bibi Faiza....Afu cha pili wewe sio mujibu maswali unakwepa kwepa maswali yangu ninayokuuliza Bibi Faiza.
Simbishii mtu, nataka ushahidi wapi Yesu kasema "mimi Mungu" au "niabuduni".

Kumbuka kuwa Waislaam tunaamini Yesu alayhi salaam ni mtume, siyo Mungu.
 
Ungejua hata wakristu wanasujudu usingepiga kelele hapa
 
Simbishii mtu, nataka ushahidi wapi Yesu kasema "mimi Mungu" au "niabuduni".

Kumbuka kuwa Waislaam tunaamini Yesu alayhi salaam ni mtume, siyo Mungu.
Sasa ushahidi wa nini wakati ni mapokeo yao wakrsto sio lazima wewe kuamini au unataka ushahidi wa video????? Yaani ni sawa na kutaka ushahidi wa muhamadi ni kweli alitokewa na malaika au alitumwa na Mungu anaeitwa Allah utaupata wapi Bibi Faiza????
 
View attachment 2633895

Baada ya kupiga bao muhimu Ronaldo akashangilia kwa kusujudu kama wafanyavyo Waislam.

Huu ni mwanzo wa Ronaldo kusilimu au ni raha za furaha iliyopitiliza (euphoria)?

Tumewahi kumuona mara nyingi, kama si zote, kila Ronaldo anapopiga bao huwa na kawaida ya kufanya ishara ya alama ya msalaba, kwa mara ya kwanza na ya kushangaza tunamuona Ronaldo akisujudu kama wafanyavyo Waislam uwanjani baada ya kupiga bao.

Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar.
Kacheza na akili zao tu boss wangu ni mlokole na anakanisa lake. Every Sunday tunakwenda kusali kwake😀😀 ni kula na kipofu
 
Back
Top Bottom