Cristiano Ronaldo asujudu baada ya kufunga goli muhimu

Cristiano Ronaldo asujudu baada ya kufunga goli muhimu

Kacheza na akili zao tu boss wangu ni mlokole na anakanisa lake. Every Sunday tunakwenda kusali kwake😀😀 ni kula na kipofu
Hakuna shida, yeye hakucheza kilokoke kacheza kwa kusujudu kwa Muumba wake, kumbuka hana njaa huyo.
 
Simbishii mtu, nataka ushahidi wapi Yesu kasema "mimi Mungu" au "niabuduni".

Kumbuka kuwa Waislaam tunaamini Yesu alayhi salaam ni mtume, siyo Mungu.
Unachoamini wewe kuna wengine hawaamini.Dini zote za kiislamu na kikrsto ni adithi za historia zao na mapokeo ya kufikirika ya jamii za wayahudi na waarabu.Hazina ushahidi zaidi ya maneno matupu
 
Hakuna shida, yeye hakucheza kilokoke kacheza kwa kusujudu kwa Muumba wake, kumbuka hana njaa huyo.
Faiza muumba wake ndio yupi huyo maana kila dini ina mungu wake...Mfano mimi aliyeniumba sio Mungu wa kiarabu anayeitwa Allah.
 
View attachment 2633895

Baada ya kupiga bao muhimu Ronaldo akashangilia kwa kusujudu kama wafanyavyo Waislam.

Huu ni mwanzo wa Ronaldo kusilimu au ni raha za furaha iliyopitiliza (euphoria)?

Tumewahi kumuona mara nyingi, kama si zote, kila Ronaldo anapopiga bao huwa na kawaida ya kufanya ishara ya alama ya msalaba, kwa mara ya kwanza na ya kushangaza tunamuona Ronaldo akisujudu kama wafanyavyo Waislam uwanjani baada ya kupiga bao.

Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar.
Mbona hata Pope John Paul II, alipokuja Tanzania mwaka 1990 alisujudu pale Dar es Salaam International Airport (DIA) sasa JKIA . Alisujudu wakati wa kufika na wakati wa kuondoka, tena alielekea kibla. Sijui kuelekwa kibla ilikuwa makusudi au coincidence tu.
 
View attachment 2633895

Baada ya kupiga bao muhimu Ronaldo akashangilia kwa kusujudu kama wafanyavyo Waislam.

Huu ni mwanzo wa Ronaldo kusilimu au ni raha za furaha iliyopitiliza (euphoria)?

Tumewahi kumuona mara nyingi, kama si zote, kila Ronaldo anapopiga bao huwa na kawaida ya kufanya ishara ya alama ya msalaba, kwa mara ya kwanza na ya kushangaza tunamuona Ronaldo akisujudu kama wafanyavyo Waislam uwanjani baada ya kupiga bao.

Allahu Akbar Allahu Akbar Allahu Akbar.
Upumbavu huu. Mtaacha lini? Kusujudu wanasujudu Wapagani, wakristo na Waislamu. Yaani hii ni dhana ya kipumbavu mpaka nawaza kwa nini baadhi ya watu hampendi Elimu? Biblia inasema mara nyingi tu suala la kusujudu. Na mwezi na nyota basi ni vya waislamu. 😁
 
Back
Top Bottom