Allah mwenyewe kachukua koran kutoka kwa viumbe sasa challenge ya nini ? mwisho wa siku hakutoa aknowledgement kwa aliowanukuu , alifanya plagiarism
- Talking ants, maneno ya ant ndani ya koran
- 27:18. ...., alisema mdudu chungu mmoja: Enyi wadudu chungu! Ingieni majumbani mwenu, asikupondeni Sulaiman na majeshi yake bila ya wao kutambua.
- Aya za Binadamu, Sulaiman
- Sulaiman .....akasema: Imekuwaje, mbona simwoni Hud-hud, au amekuwa miongoni mwa walio ghibu?
- Aya ya Ndege Hud Hud
- 27:22. Basi (Hud-hud) akakaa si mbali na akasema: Nimegundua usilo gundua wewe, na ninakujia hivi kutoka nchi ya Sabai, na nakuletea khabari za yakini.
- Aya ya shetani
- Hijr:39. [Iblis (Satan)] said: "O my Lord! Because you misled me,.....
- Sura ya majini , hii ni almost surah nzima ni yao wanaongea
- Jinn: 1 - ....kundi moja la majini lilisikiliza, na likasema: Hakika sisi tumeisikia Qur'ani ya ajabu