Cristiano Ronaldo ‘atibuana’ na wakala wake

Cristiano Ronaldo ‘atibuana’ na wakala wake

We ni Msemaji Mkuu wa Ronaldo hadi udai kuwa ana stress [emoji848][emoji28]

Timu Andunje ni vilaza hadi mafuvu yenu yanawashangaa [emoji1787]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Wewe unasema hana stress, yeye anaenda kwa Piers Morgan analia na kumwaga stress zake zote live.

Tumuamini nani? Ronaldo mwenyewe au wewe mke wake?
 
Na hapo ndipo ulipodhihirisha ujahili wako,timu andunje au co???
Huyo ni mwamba utake uctake,kama vp kunywa sumu ufe ili ucshuhudie anavyobeba world Cup
We ni Msemaji Mkuu wa Ronaldo hadi udai kuwa ana stress [emoji848][emoji28]

Timu Andunje ni vilaza hadi mafuvu yenu yanawashangaa [emoji1787]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Naskia wakala alimwambia kuna timu inaitwa Aston villa wanamtaka akaona dharau ..

Hadi tp mazembe nako anaona dhatau wakati ndiyo level yake
 
Modric DOB, 9 September 1985, Age 37yrs
Ronaldo DOB, 5 February 1985, Age 37yrs
ila atleast modric bado bado kampira kamo...Ronaldo alikuwa yule wa man u enzi zileee...ila tokea aende madrid bila msaada wa benzema na bale hakuna mchezaji pale.

Sasaiv hata akienda madrid benzema hawezi kukubali kusacrifice career yake tena ili amuinue ronaldo
 
Kuna watu huwa wanapingana na Asili (Nature) Mmoja wao ni huyo CR7.

Cristiano Ronaldo haamini kuwa muda wa Kuwa Top umeisha, ndiyo maana mwenzake Leo Messi ametangaza kutandika Daluga mashindano ngazi ya Taifa.

Cristiano Ronaldo wa 2008 anatufunga Arsenal kwa chenga za maudhi ni tofauti na huyu wa 2022 anaye struggle kuifunga Watford.

Wakati si Milele
 
Ronaldo hajaisha ki hivyo ila alikosea kwenda Manchester United, angeenda Man city, PSG, Bayern Munich story ingekua tofauti
Huwa ana tabia ya yeye kujiona ni bora saana kuliko yoyote yule, aliamini kuwa angeweza kurejesha ubora wa Man U.

Kwa miaka ya hivi karibu na kwa sasa, bora ni mmoja tu, LIONEL ANDRES MESSI.
 
Inasemekana Wakala akimuambia Ronaldo aangalie timu kama Raja Casablanca, Zalan, au Yanga anabisha anasema yeye ni levo za Bayern, Mancity, PSG

Akiambiwa hizo timu hazina namba yake ananuna siku nzima.
Mfano hizo timu hapo anachukua namba ya nani? Hata Yanga hii ya sasa Ronaldo hachukui namba mbele ya Azizi Ki au Morisson.

Jamaa anapenda kujiona yeye ni bora sana, hapa ndipo anapokosea.
 
Ile taarifa uliyoleta hapo mbona kama unajichanganya?

Inasema ameomba kuja kupiga tizi na mwanae pale na sio kurudi kusajiliwa.
Perez alishasema hawezi kumrudisha .
Kaomba kupiga tizi tu Basi kwa nini wamkatalie?
Ni swala la mda huyo ni mtoto wa nyumbani anaweza kurudi amalizie mpira
 
ila atleast modric bado bado kampira kamo...Ronaldo alikuwa yule wa man u enzi zileee...ila tokea aende madrid bila msaada wa benzema na bale hakuna mchezaji pale.

Sasaiv hata akienda madrid benzema hawezi kukubali kusacrifice career yake tena ili amuinue ronaldo
Ronaldo alienda na Benzema Juventus, last season hapo EPL ka score magoli mangapi? punguza chuki utapata maradhi sio yako
 
Huwa ana tabia ya yeye kujiona ni bora saana kuliko yoyote yule, aliamini kuwa angeweza kurejesha ubora wa Man U.

Kwa miaka ya hivi karibu na kwa sasa, bora ni mmoja tu, LIONEL ANDRES MESSI.
Messi alifanya maamuzi sahihi kwenda PSG angejichanganya na yeye sasa hivi story ingekua kama mwenzake
 
Back
Top Bottom