February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,151
- 2,983
Hahah amuweke nani Bench pale?Anarudi Madrid huyo
Vinicius? Benzema?
Are you joking?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah amuweke nani Bench pale?Anarudi Madrid huyo
Wewe unasema hana stress, yeye anaenda kwa Piers Morgan analia na kumwaga stress zake zote live.We ni Msemaji Mkuu wa Ronaldo hadi udai kuwa ana stress [emoji848][emoji28]
Timu Andunje ni vilaza hadi mafuvu yenu yanawashangaa [emoji1787]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Hahahh hata akiinunua hawatamsajili.Kama ni kweli ainunue Sasa ili imsajili tena..😂😂
Anarudi Madrid huyo
Hihihihihi wacha ncheke mimi mtoto wa marehemu.Ronaldo hajaisha ki hivyo ila alikosea kwenda Manchester United, angeenda Man city, PSG, Bayern Munich story ingekua tofauti
We ni Msemaji Mkuu wa Ronaldo hadi udai kuwa ana stress [emoji848][emoji28]
Timu Andunje ni vilaza hadi mafuvu yenu yanawashangaa [emoji1787]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Wewe unasema hana stress, yeye anaenda kwa Piers Morgan analia na kumwaga stress zake zote live.
Tumuamini nani? Ronaldo mwenyewe au wewe mke wake?
Una utoto mwingi kaa kiumeHahah amuweke nani Bench pale?
Vinicius? Benzema?
Are you joking?
Ronaldo na Modiric nani babu?Madrid hawataki vibabu
Ile taarifa uliyoleta hapo mbona kama unajichanganya?Una utoto mwingi kaa kiume
Ronaldo na Modiric nani babu?
ila atleast modric bado bado kampira kamo...Ronaldo alikuwa yule wa man u enzi zileee...ila tokea aende madrid bila msaada wa benzema na bale hakuna mchezaji pale.Modric DOB, 9 September 1985, Age 37yrs
Ronaldo DOB, 5 February 1985, Age 37yrs
Huwa ana tabia ya yeye kujiona ni bora saana kuliko yoyote yule, aliamini kuwa angeweza kurejesha ubora wa Man U.Ronaldo hajaisha ki hivyo ila alikosea kwenda Manchester United, angeenda Man city, PSG, Bayern Munich story ingekua tofauti
Mfano hizo timu hapo anachukua namba ya nani? Hata Yanga hii ya sasa Ronaldo hachukui namba mbele ya Azizi Ki au Morisson.Inasemekana Wakala akimuambia Ronaldo aangalie timu kama Raja Casablanca, Zalan, au Yanga anabisha anasema yeye ni levo za Bayern, Mancity, PSG
Akiambiwa hizo timu hazina namba yake ananuna siku nzima.
Ni swala la mda huyo ni mtoto wa nyumbani anaweza kurudi amalizie mpiraIle taarifa uliyoleta hapo mbona kama unajichanganya?
Inasema ameomba kuja kupiga tizi na mwanae pale na sio kurudi kusajiliwa.
Perez alishasema hawezi kumrudisha .
Kaomba kupiga tizi tu Basi kwa nini wamkatalie?
Ngumu wangekubali tangu mwanzo wana project ya vijana kwa sasa pia benzema yupo on formNi swala la mda huyo ni mtoto wa nyumbani anaweza kurudi amalizie mpira
Ronaldo alienda na Benzema Juventus, last season hapo EPL ka score magoli mangapi? punguza chuki utapata maradhi sio yakoila atleast modric bado bado kampira kamo...Ronaldo alikuwa yule wa man u enzi zileee...ila tokea aende madrid bila msaada wa benzema na bale hakuna mchezaji pale.
Sasaiv hata akienda madrid benzema hawezi kukubali kusacrifice career yake tena ili amuinue ronaldo
Messi alifanya maamuzi sahihi kwenda PSG angejichanganya na yeye sasa hivi story ingekua kama mwenzakeHuwa ana tabia ya yeye kujiona ni bora saana kuliko yoyote yule, aliamini kuwa angeweza kurejesha ubora wa Man U.
Kwa miaka ya hivi karibu na kwa sasa, bora ni mmoja tu, LIONEL ANDRES MESSI.