Penati ya 5Ngoja leo usiku utakiona
Debate ilishazimwa toka kitambo kwa watu wanaojua mpira, Messi ana ballon 7 na Ronaldo 5. Hii ya leo Messi ni kwenda kuzima kabisa jina la Ronaldo ktk soka.Messi anainua kwa kwapa na debate itafungwa rasmi mkuu
Mahaba tu yanasumbua watu.Ndio vitaje vyote tuaze kuchambua kimoja baada ya kingine mim nimeanza cristiano Ronaldo ndio Top score wa champions league history ana jumla ya Goli 141 haya Messi kamzidi nin apo Ronaldo na je Ibrahimovic anaweza kuwa top score wa champions league history Lewandoski anaweza kuwa top score wa champions league history
Tena messi kapita njia laini sana kwenye mafanikio ya soka lake.Kuanzia timu alizocheza hadi timu ya taifa.Kote uko kakutana na vikosi bora vilivyomlea vizuri tofauti na ronaldo aliyetumia muda mwingi kuonyesha juhudi binafsi na upambanaji.Mambo mengine yanatakiwa yabaki kua mtazamo binafsi ya mtu.Messi ana kipi ambacho Ronaldo hana?
Njia laini mkuu hivi upo serious kweli?Tena messi kapita njia laini sana kwenye mafanikio ya soka lake.Kuanzia timu alizocheza hadi timu ya taifa.Kote uko kakutana na vikosi bora vilivyomlea vizuri tofauti na ronaldo aliyetumia muda mwingi kuonyesha juhudi binafsi na upambanaji.Mambo mengine yanatakiwa yabaki kua mtazamo binafsi ya mtu.
Messi ana world cup. Ana Ballon d or 7 lakini pia ana player of the tournament award world cup je Ronaldo anavyo?. Zamu yako nitajie vitu ambavyo Ronaldo anavyo Messi hanaNdio vitaje vyote tuaze kuchambua kimoja baada ya kingine mim nimeanza cristiano Ronaldo ndio Top score wa champions league history ana jumla ya Goli 141 haya Messi kamzidi nin apo Ronaldo na je Ibrahimovic anaweza kuwa top score wa champions league history Lewandoski anaweza kuwa top score wa champions league history
Kama umefuatilia interviews nyingi alizofanyiwa MESSI akiulizwa ni mchezaji gani aliyekupa hamasa na kukujenga kimchezo huwa anamkiri RONALDINHO.Mchezaji wangu bora wa mda wote ni Ronaldinho Gaucho.
Watu wanaongea mambo ya msingi , mnaleta ujinga , jiheshimuni basi , Yani watu wanajadili Messi na Ronaldo unaingiza takataka Ronaldinho, kuweni seriousJamaa namkubali sana
Nadhani hata kipindi anachukuwa ballon dor hakuwa hata anaongoza magoli kwenye ligi ni mambo yake tu ya uwanjan
Cristiano Ronaldo moja ya mafanikio yake makubwa ni kufananishwa na Lionel Messi lakini kiuhalisia huyu Lionel Messi ni wa level za Pele na Maradona.
Huyu Ronaldo ni wa kulinganishwa na akina Lewandowski na Ibrahmovic ambao ndio level zake.
Kitu pekee team Cr7 walichobakiza ni kumuita Ronaldo goal machine. Hii hoja nayo muda sio mrefu Messi ataizima. Mwambieni Ronaldo ahakikishe mpaka Messi kastaafu na yeye astaafu ila akijiroga akastaafu kabla ya Messi ni suala la msimu mmoja tu atapitwa kwa magoli na ugoal machine utaishia hapo na jambo hili linamuuiza sana kichwa Ronaldo japo mwili umeshamkataa.
View attachment 2450562
Yote kwa yote all time top 3 G.O.A.Ts:
1. Lionel Messi
2. Pele
3. Maradona
NB:Huyu dogo video yake ilinichekesha sana
View attachment 2450574
We dish limeyumba, Ronadinho takataka?Watu wanaongea mambo ya msingi , mnaleta ujinga , jiheshimuni basi , Yani watu wanajadili Messi na Ronaldo unaingiza takataka Ronaldinho, kuweni serious
Messi ana world cup. Ana Ballon d or 7 lakini pia ana player of the tournament award world cup je Ronaldo anavyo?. Zamu yako nitajie vitu ambavyo Ronaldo anavyo Messi hana
Ballon zipi ya lewandoski na sjinder nazo unazihesabu kombe la Dunia Ata kimpembe wa PSG analo au hufahamu icho kituMessi ana world cup. Ana Ballon d or 7 lakini pia ana player of the tournament award world cup je Ronaldo anavyo?. Zamu yako nitajie vitu ambavyo Ronaldo anavyo Messi hana
Muongeze pia ana champions league tanoAna Uero, Uefa National league
Ana Seria A, Epl, na mfungaji bora wa muda wote ktk International tournament....
Sema jingine?
Cristiano Ronaldo ana champions league tano 2008,2014,2016,2017,2018 Messi wako anazo ngapiMessi ana world cup. Ana Ballon d or 7 lakini pia ana player of the tournament award world cup je Ronaldo anavyo?. Zamu yako nitajie vitu ambavyo Ronaldo anavyo Messi hana
Kiatu cha dhahabu kileee [emoji117] 7 goals with the King Mbappe's 5 fantastic goals but not the same as Miss penati's 5 goalsBallon zipi ya lewandoski na sjinder nazo unazihesabu kombe la Dunia Ata kimpembe wa PSG analo au hufahamu icho kitu
Wew uwa unangalia kweli mpira kiatu Cha dhahabu kabeba mbappe au wew unaotaKiatu cha dhahabu kileee [emoji117] 7 goals with 5 fantastic goals but not the same as Miss penati goals 5View attachment 2451226View attachment 2451227View attachment 2451229
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Angalia data no data no right to typeTop score wa champions league history michuano Bora ya vilabu Duniani mchezaji mwenye Tuzo Tano za haki ta Ballon dor mchezaji anayeshirikilia rekodi ya kufunga Goli nyingi Kwa msimu mmoja kweny champions league mchezaji mwenye more than 40 hat trick mchezaji aliyechukua ufungaji Bora wa Champions leauge zaidi ya mara nne unakuja Kulinganisha na matakakataka gani wew bila shaka ni kichaa wa akili