Crown Media inatoa wapi pesa kuajiri wafanyakazi wake?

Crown Media inatoa wapi pesa kuajiri wafanyakazi wake?

Kifurukutu

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
4,641
Reaction score
6,694
Wakuu,

Nimekuwa nikijiuliza maswali bila majibu mpaka najisemea media hasa radio station inalipa mno au watangazaji na wanahabari kwa ujumla hawana viwango vikubwa vya mishahara.

Kama watangazaji hulipwa pesa nzuri, Crown Media imetoa pesa wapi kuweza kusajiri watangazaji kutoka radio station kubwa na kongwe hapa Tanzania?

Mtu anahama vipi Clouds, Wasafi, efm, EATV nk kuelekea radio ambayo hairushi hata vipindi?

Je, imetoa pesa wapi? Mamlaka husika zitusaidie.
 
Hao watangazaji wa Tanzania usiwaone hivo wana kelele nyingi kwenye redio na TV ila mishahara ni midogo shule ndogo na brains zao kiduchu tu hamna mtangazaji hapa nchini anae pokea $ 10,000 kwa mwezi haupo.
 
Hao watangazaji wa Tanzania usiwaone hivo wana kelele nyingi kwenye redio na TV ila mishahara ni midogo shule ndogo na brains zao kiduchu tu hamna mtangazaji hapa nchini anae pokea $ 10,000 kwa mwezi haupo........
Dola 10k ni nyingi sana. Watangazaji wanaolipwa hata Tsh 1m ni wa kuhesabu. Wengi wanachezea 100k hadi 300k.
 
Wakuu

Nimekuwa nikijiuliza maswali bila majibu mpaka najisemea media hasa radio station inalipa mno au watangazaji na wanahabari kwa ujumla hawana viwango vikubwa vya mishahara

Kama watangazaji hulipwa pesa nzuri, crown media imetoa pesa wapi kuweza kusajiri watangazaji kutoka radio station kubwa na kongwe hapa tanzania?

Mtu anahama vipi clouds, wasafi, efm, eatv nk kuelekea radio ambayo hairushi hata vipindi

Je imetoa pesa wapi, mamlaka husika zitusaidie
acha umbea
 
Back
Top Bottom