Crown Media inatoa wapi pesa kuajiri wafanyakazi wake?

Wakuu,

Nimekuwa nikijiuliza maswali bila majibu mpaka najisemea media hasa radio station inalipa mno au watangazaji na wanahabari kwa ujumla hawana viwango vikubwa vya mishahara.

Kama watangazaji hulipwa pesa nzuri, Crown Media imetoa pesa wapi kuweza kusajiri watangazaji kutoka radio station kubwa na kongwe hapa Tanzania?

Mtu anahama vipi Clouds, Wasafi, efm, EATV nk kuelekea radio ambayo hairushi hata vipindi?

Je, imetoa pesa wapi? Mamlaka husika zitusaidie.
Mamlaka ziwasaidie kuoata ajira au kufuatilia umbea?
 
Uzi mzima hakuna aliyejibu swali.

Jibu:
kwa swali lako ilibidi pia uulize pesa za kufungu station wametoa wapi kama ujauliza hili swali maanayake unajua ni mtaji wanajua wao walipoutoa basi hata hio mishahara ya kuwalipa watangazaji ni sehemu ya mtaji kabla station ijaanza kuingiza faida.

Simple Mathematics, kama kuanzisha Station wametumia Billion 1 mpaka kituo unakiona basi ujue pia kama mtangazaji mmoja tuseme analipwa 3000,000 na wameajiri wanne ni sawa na 12M hii kwa kuwalipa kwa mwaka sawa na around Million 100, hivyo kuwalipa miaka miwili ni 200M.

Hii 200M wanayo kabisa Bank as initiative capital for employees salaries tu kwa muda wa miaka miwili hawa wafanya kazi watakuwa wanalipwa hata kama radio ijaangiza hata Tsh 10, ila kibiashara ndani ya huo muda itakuwa ishaanza kupata Cashflow.
 
Wakuu,

Nimekuwa nikijiuliza maswali bila majibu mpaka najisemea media hasa radio station inalipa mno au watangazaji na wanahabari kwa ujumla hawana viwango vikubwa vya mishahara.

Kama watangazaji hulipwa pesa nzuri, Crown Media imetoa pesa wapi kuweza kusajiri watangazaji kutoka radio station kubwa na kongwe hapa Tanzania?

Mtu anahama vipi Clouds, Wasafi, efm, EATV nk kuelekea radio ambayo hairushi hata vipindi?

Je, imetoa pesa wapi? Mamlaka husika zitusaidie.

Mbona swali la kitoto sana? Unajua maana ya uwekezaji? Hivi unaweza kuanza biashara bila kuwekeza Capital? Bakhresa kamwaga mpunga wa kutosha kuwekeza Bagamoyo sugar kwa miaka mitatu bila kuingiza hata 100 na alikuwa na staffs anawalipa mshahara.
 
Hao watangazaji wa Tanzania usiwaone hivo wana kelele nyingi kwenye redio na TV ila mishahara ni midogo shule ndogo na brains zao kiduchu tu hamna mtangazaji hapa nchini anae pokea $ 10,000 kwa mwezi haupo.
Hiki kiwango unakichukuliaje? Mil. 25 ?
 
Uzi mzima hakuna aliyejibu swali.

Jibu:
kwa swali lako ilibidi pia uulize pesa za kufungu station wametoa wapi kama ujauliza hili swali maanayake unajua ni mtaji wanajua wao walipoutoa basi hata hio mishahara ya kuwalipa watangazaji ni sehemu ya mtaji kabla station ijaanza kuingiza faida.

Simple Mathematics, kama kuanzisha Station wametumia Billion 1 mpaka kituo unakiona basi ujue pia kama mtangazaji mmoja tuseme analipwa 3000,000 na wameajiri wanne ni sawa na 12M hii kwa kuwalipa kwa mwaka sawa na around Million 100, hivyo kuwalipa miaka miwili ni 200M.

Hii 200M wanayo kabisa Bank as initiative capital for employees salaries tu kwa muda wa miaka miwili hawa wafanya kazi watakuwa wanalipwa hata kama radio ijaangiza hata Tsh 10, ila kibiashara ndani ya huo muda itakuwa ishaanza kupata Cashflow.
Radio inatangaza masaa 24 iwe na watangazaji 3 mkuu au unatoa tu mfano?
 
Nimetoa mfano based na content, yeye kasema watangazaji kutoka Cloids, Wasafi kwani watangazaji wote happ Crown ni wakutoka hizo radio wengine si new bie ambao mishara haifiki hata million moja.

All uwo mfano weka idadi yotote unayotaka wewe na ujumlishe pesa.
 
Radio inategemea matangazo ya udhamini , uchezeshaji wa kmari kama bahati nasibu, uandaaji wa mana udhamini wa matashama na mtukio mbalimbali ya kijamii ,na kupitia ushirikiano na mitandao ya simu . Hizo ni baadhi tu .

Ila tambua media za kibongo wanaoajiriwa wana mchango mkubwa kweny kupata wadhamini kuliko hata promo , mfano unapomchukua mtangazaji mkubwa yule mtangazaji ni brand pia atakuletea wadhamini na matangazo ya kutosha kutokana na brand yake , kipind chake kupendwa na watu wengi hii inachangiwa na umahiri wake kweny fani .

Katika kuwalipa ni injection of capital ya awali angalau kuilelea biashara hata kwa miaka 2 bila ya kutarajia faaida, japo kuwa faida inaweza kuonekana mapema kabisa ...Hapo kweny payroll wana pesa za kuwalipa mwaka mzima bila ya kuhesabu faida watakazopata .

watangazaji ndio brand ya Redio , wanalipwa kwa mshahara(malipo ya kawaida) na bonus(pesa zainzotokana na wadhamini kama watakuwa wengi)

malipo ya bonus mpaka uwe brand sana inafika stage unapata asilimia kadhaa kutoka kwa wadhamini .​
 
Hao watangazaji wa Tanzania usiwaone hivo wana kelele nyingi kwenye redio na TV ila mishahara ni midogo shule ndogo na brains zao kiduchu tu hamna mtangazaji hapa nchini anae pokea $ 10,000 kwa mwezi haupo.

Mkuu $10, 000 kwa mwezi sijui hata kama watangazaji wa Radio jijini Boston wanalipwa hiyo hela, we unasema kwa Mama Suluhu. Mkuu unafanya mchezo na dola elfu kumi nini?
 
Uzi mzima hakuna aliyejibu swali.

Jibu:
kwa swali lako ilibidi pia uulize pesa za kufungu station wametoa wapi kama ujauliza hili swali maanayake unajua ni mtaji wanajua wao walipoutoa basi hata hio mishahara ya kuwalipa watangazaji ni sehemu ya mtaji kabla station ijaanza kuingiza faida.

Simple Mathematics, kama kuanzisha Station wametumia Billion 1 mpaka kituo unakiona basi ujue pia kama mtangazaji mmoja tuseme analipwa 3000,000 na wameajiri wanne ni sawa na 12M hii kwa kuwalipa kwa mwaka sawa na around Million 100, hivyo kuwalipa miaka miwili ni 200M.

Hii 200M wanayo kabisa Bank as initiative capital for employees salaries tu kwa muda wa miaka miwili hawa wafanya kazi watakuwa wanalipwa hata kama radio ijaangiza hata Tsh 10, ila kibiashara ndani ya huo muda itakuwa ishaanza kupata Cashflow.
Hii pesa yote wameipata wapi?
Bongo hii hii au
 
Wakuu,

Nimekuwa nikijiuliza maswali bila majibu mpaka najisemea media hasa radio station inalipa mno au watangazaji na wanahabari kwa ujumla hawana viwango vikubwa vya mishahara.

Kama watangazaji hulipwa pesa nzuri, Crown Media imetoa pesa wapi kuweza kusajiri watangazaji kutoka radio station kubwa na kongwe hapa Tanzania?

Mtu anahama vipi Clouds, Wasafi, efm, EATV nk kuelekea radio ambayo hairushi hata vipindi?

Je, imetoa pesa wapi? Mamlaka husika zitusaidie.
Kwani humuoni salim kikeke pale ama
 
Back
Top Bottom