Crown Media inatoa wapi pesa kuajiri wafanyakazi wake?

Crown Media inatoa wapi pesa kuajiri wafanyakazi wake?

Wakuu,

Nimekuwa nikijiuliza maswali bila majibu mpaka najisemea media hasa radio station inalipa mno au watangazaji na wanahabari kwa ujumla hawana viwango vikubwa vya mishahara.

Kama watangazaji hulipwa pesa nzuri, Crown Media imetoa pesa wapi kuweza kusajiri watangazaji kutoka radio station kubwa na kongwe hapa Tanzania?

Mtu anahama vipi Clouds, Wasafi, efm, EATV nk kuelekea radio ambayo hairushi hata vipindi?

Je, imetoa pesa wapi? Mamlaka husika zitusaidie.
Huo ni mtaji
 
Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.



1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
Ni kila siku au siku moja tu?
 
Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.



1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
ACHA HUU UWONGO WAKO UNATAKA UPATE POINT BURE KABISA HAKUNA CHA GB WALA NINI HUYU NIMUONGO NDIO UJANJA WAO HUU KUWAVUTA WATU WAKIJUA WANAKWENDA KWELI KUPATA GB ZA BURE, WAKUU HAMPATI GB ZA BURE NI UWONGO WALA MSIHANGAIKE
 
Kuna kipindi nilikua nafanya bank flanj,na mishahara ya radio flani tu kubwa ilikua inapitia kwenye bank yetu..so kwa kweli ni vichekesho sana,kuna mtu mmoja jina kubwa plus Mbwembwe nyingi ila mshahara laki 3.
Wewe unajua kitu,...wat wanongea vit vya ajabu kumamae et Dola 2500..bongo hii vituo vingi vya redio kama so vyote wanaoluka mia5 wachache sana..unakuta station Ina wat wawili wanalipwa labda milion3 ao ndo wakubwa kbsa af Kuna group liko kwenye million apo wachache sana wengine wote wanacheza na laki laki Tena mishahara ya tarehe 45
 
Back
Top Bottom