Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,641
- 6,694
- Thread starter
- #81
Kama ni demu sawa, mwanaume unitusi niwe rafiki tena..ndio imeisha iyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni demu sawa, mwanaume unitusi niwe rafiki tena..ndio imeisha iyo
Hiyo ni mali ya hassan johoWakuu,
Nimekuwa nikijiuliza maswali bila majibu mpaka najisemea media hasa radio station inalipa mno au watangazaji na wanahabari kwa ujumla hawana viwango vikubwa vya mishahara.
Kama watangazaji hulipwa pesa nzuri, Crown Media imetoa pesa wapi kuweza kusajiri watangazaji kutoka radio station kubwa na kongwe hapa Tanzania?
Mtu anahama vipi Clouds, Wasafi, efm, EATV nk kuelekea radio ambayo hairushi hata vipindi?
Je, imetoa pesa wapi? Mamlaka husika zitusaidie.