Mzee Kimamingo
JF-Expert Member
- Mar 31, 2024
- 1,861
- 4,462
Mbona hujauliza hela za kufungua Radio wametoa wapi...Wakuu,
Nimekuwa nikijiuliza maswali bila majibu mpaka najisemea media hasa radio station inalipa mno au watangazaji na wanahabari kwa ujumla hawana viwango vikubwa vya mishahara.
Kama watangazaji hulipwa pesa nzuri, Crown Media imetoa pesa wapi kuweza kusajiri watangazaji kutoka radio station kubwa na kongwe hapa Tanzania?
Mtu anahama vipi Clouds, Wasafi, efm, EATV nk kuelekea radio ambayo hairushi hata vipindi?
Je, imetoa pesa wapi? Mamlaka husika zitusaidie.
Tumia akili izo ni hela zao za mtaji walizonazo