Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,641
- 6,694
ELA ni niniAcha majungu, tafuta ELA, usije kuwa mchawi uzeeni.
We huwajui kumbe hao $10000?Hao watangazaji wa Tanzania usiwaone hivo wana kelele nyingi kwenye redio na TV ila mishahara ni midogo shule ndogo na brains zao kiduchu tu hamna mtangazaji hapa nchini anae pokea $ 10,000 kwa mwezi haupo........
Mmh $2500 hiyo tu kwa kelele zote.We huwajui kumbe hao $10000?
Sisi tunaowajua hao mtu anayepata $2500 wa tochi
Wanaombaga laki 3 wanalia kama wa mawingu na wasafi ndo hamna kitu kabisa labda huko TBC Itv hawalipwi kabisaMmh $2500 hiyo tu kwa kelele zote.
Sasa media gani inalipa vzr?Wanaombaga laki 3 wanalia kama wa mawingu na wasafi ndo hamna kitu kabisa labda huko TBC Itv hawalipwi kabisa
Tbc haiwezi kulipa kupita mawingu labd fursa za nafasi zingine tu serikalini connekitioniWanaombaga laki 3 wanalia kama wa mawingu na wasafi ndo hamna kitu kabisa labda huko TBC Itv hawalipwi kabisa
Acha kuzinguzia hapo kuna conflict of intrest hamna mtu wakuwekeza kwenye industry moja pesa zote hizo.Huyoo ni kusaga wasafi+clouds+crown zote anamkono wake.
Amka usingiziniTbc haiwezi kulipa kupita mawingu labd fursa za nafasi zingine tu serikalini connekitioni
Nakuunga mkono.Hizo ni mali za watu ambao hawataki kujulikana kutokana na nafasi zao, hao vijana wanatumika tu
Dola 10k ni nyingi sana. Watangazaji wanaolipwa hata Tsh 1m ni wa kuhesabu. Wengi wanachezea 100k hadi 300k.Hao watangazaji wa Tanzania usiwaone hivo wana kelele nyingi kwenye redio na TV ila mishahara ni midogo shule ndogo na brains zao kiduchu tu hamna mtangazaji hapa nchini anae pokea $ 10,000 kwa mwezi haupo........
Acha masihara mtangazaji kama masoudi Kipanya alipwe 300k kweli au huyu Husna Abdul alipwe 100k hapana haiwezekani hilo hapo chai mkuu.Dola 10k ni nyingi sana. Watangazaji wanaolipwa hata Tsh 1m ni wa kuhesabu. Wengi wanachezea 100k hadi 300k.
acha umbeaWakuu
Nimekuwa nikijiuliza maswali bila majibu mpaka najisemea media hasa radio station inalipa mno au watangazaji na wanahabari kwa ujumla hawana viwango vikubwa vya mishahara
Kama watangazaji hulipwa pesa nzuri, crown media imetoa pesa wapi kuweza kusajiri watangazaji kutoka radio station kubwa na kongwe hapa tanzania?
Mtu anahama vipi clouds, wasafi, efm, eatv nk kuelekea radio ambayo hairushi hata vipindi
Je imetoa pesa wapi, mamlaka husika zitusaidie