Mzee Kimamingo
JF-Expert Member
- Mar 31, 2024
- 1,861
- 4,462
Mbona hujauliza hela za kufungua Radio wametoa wapi...Wakuu,
Nimekuwa nikijiuliza maswali bila majibu mpaka najisemea media hasa radio station inalipa mno au watangazaji na wanahabari kwa ujumla hawana viwango vikubwa vya mishahara.
Kama watangazaji hulipwa pesa nzuri, Crown Media imetoa pesa wapi kuweza kusajiri watangazaji kutoka radio station kubwa na kongwe hapa Tanzania?
Mtu anahama vipi Clouds, Wasafi, efm, EATV nk kuelekea radio ambayo hairushi hata vipindi?
Je, imetoa pesa wapi? Mamlaka husika zitusaidie.
'Dark web'Wakuu,

Mbona hukuhoji wasafi walikotoa Hela?? Mfano wamekopa ulitaka wakuambie???ELA ni nini
Huko shule ulipelekwa kusomea ujinga?
100k kwamba hata Mfanyakazi wa Garda world anampitaDola 10k ni nyingi sana. Watangazaji wanaolipwa hata Tsh 1m ni wa kuhesabu. Wengi wanachezea 100k hadi 300k.
Kweli wabongo tuko nyuma sanaWakuu,
Nimekuwa nikijiuliza maswali bila majibu mpaka najisemea media hasa radio station inalipa mno au watangazaji na wanahabari kwa ujumla hawana viwango vikubwa vya mishahara.
Kama watangazaji hulipwa pesa nzuri, Crown Media imetoa pesa wapi kuweza kusajiri watangazaji kutoka radio station kubwa na kongwe hapa Tanzania?
Mtu anahama vipi Clouds, Wasafi, efm, EATV nk kuelekea radio ambayo hairushi hata vipindi?
Je, imetoa pesa wapi? Mamlaka husika zitusaidie.
Duh 300k, ilikua mwaka gani coz Huo mshahara ataweza kufanya nini sasaKuna kipindi nilikua nafanya bank flanj,na mishahara ya radio flani tu kubwa ilikua inapitia kwenye bank yetu..so kwa kweli ni vichekesho sana,kuna mtu mmoja jina kubwa plus Mbwembwe nyingi ila mshahara laki 3.
Mshamba mama yakoAcha ushamba hayo makampuni
Wamiliki ni. Walewale wana duplicate business tu
Shift za. Wafanyakazi kawaida
Mwaka 2018 kuna mtu ambaye ni maarufu kiasi chake kwa sasa alikuwa analipwa Tsh 50,000/= kwa mwezi kwenye media fulani kubwa ya jina la kile kiashiria cha mvua.100k kwamba hata Mfanyakazi wa Garda world anampita
Ukisikia uchawi ndio huu. Badala ya kujiuliza wewe utapata wapi hela unafuatilia mambo yasiyokuhusu.Wakuu,
Nimekuwa nikijiuliza maswali bila majibu mpaka najisemea media hasa radio station inalipa mno au watangazaji na wanahabari kwa ujumla hawana viwango vikubwa vya mishahara.
Kama watangazaji hulipwa pesa nzuri, Crown Media imetoa pesa wapi kuweza kusajiri watangazaji kutoka radio station kubwa na kongwe hapa Tanzania?
Mtu anahama vipi Clouds, Wasafi, efm, EATV nk kuelekea radio ambayo hairushi hata vipindi?
Je, imetoa pesa wapi? Mamlaka husika zitusaidie.
Ninapesa ya kunitosha mahitaji yote ninayohitaji kufanyaUkisikia uchawi ndio huu. Badala ya kujiuliza wewe utapata wapi hela unafuatilia mambo yasiyokuhusu.
😂😂😂Wakuu,
Nimekuwa nikijiuliza maswali bila majibu mpaka najisemea media hasa radio station inalipa mno au watangazaji na wanahabari kwa ujumla hawana viwango vikubwa vya mishahara.
Kama watangazaji hulipwa pesa nzuri, Crown Media imetoa pesa wapi kuweza kusajiri watangazaji kutoka radio station kubwa na kongwe hapa Tanzania?
Mtu anahama vipi Clouds, Wasafi, efm, EATV nk kuelekea radio ambayo hairushi hata vipindi?
Je, imetoa pesa wapi? Mamlaka husika zitusaidie.
$10000 *2500= 25,000,000Hao watangazaji wa Tanzania usiwaone hivo wana kelele nyingi kwenye redio na TV ila mishahara ni midogo shule ndogo na brains zao kiduchu tu hamna mtangazaji hapa nchini anae pokea $ 10,000 kwa mwezi haupo.
Mkuu mbona wengi sanaa 25m neenda voda uulizie my IT na techinician wao wanalipwa je, CEO wengi wanapikea zaidi ya huo mshahara$10000 *2500= 25,000,000
hivi kuna mfanyakazi( wa kuajiriwa ) bongo land analipwa huu mshahara ukitoa wanasiasa…..alafu unazungumzia hii figure kwa mtangazajiiii,,,,, ninaona sio uhalisia.
Kwenye radio na TV kadri TV shows au radio zinavyopata attention ndio zinavyovutia matangazo ya biashara na ndivyo zinavyopiga pesaWakuu,
Nimekuwa nikijiuliza maswali bila majibu mpaka najisemea media hasa radio station inalipa mno au watangazaji na wanahabari kwa ujumla hawana viwango vikubwa vya mishahara.
Kama watangazaji hulipwa pesa nzuri, Crown Media imetoa pesa wapi kuweza kusajiri watangazaji kutoka radio station kubwa na kongwe hapa Tanzania?
Mtu anahama vipi Clouds, Wasafi, efm, EATV nk kuelekea radio ambayo hairushi hata vipindi?
Je, imetoa pesa wapi? Mamlaka husika zitusaidie.
Azam tv nafikiri Soulja boySasa media gani inalipa vzr?