- Thread starter
- #21
Hao ni walafi tu wa madaraka kama walafi wa madaraka hawa wa kiafrika ila hao wa Iran eti wanajificha nyuma ya dini huku wakiwa makafiri wakubwa.
Na ma ayatollah ni mabwanyenye uchwara wasiotaka maendeleo wanataka kubaki enzi ya mawe kwa kuongopea watu kiimani.
Iran ingebaki chini ya mfalme kama nchi za Saudia, Qatar, UAE, Jordan ingekuwa mbali sana kama anavyojenga hoja mwana mfalme wa mwisho Prince (Pahlavi) hapo juu.