Macbook pro
JF-Expert Member
- Jul 15, 2020
- 722
- 1,030
Habari gani wakuu,
Niende moja kwa moja kwenye mada yangu.
Nimekuwa nikifuatilia thread nyingi sana huku kwenye jukwaa la JF garage, moja ya mada inayotajwa mara kwa mara ni magari pasua kichwa huku Brevis ai250 2450cc ikitajwa kama pasua kichwa kwenye utumiaji wa mafuta.
Lakini kuna gari yenye size kama ya Brevis ila tofauti yake ni cc, yenyewe ina 3000cc. Katika hizi gari mbili sijawahi kusikia mtu akilalamikia Crown [emoji146] kwenye unywaji wa mafuta ila Brevis yenye 2450 cc.
Ni kitu kipi kingine kilichojificha nyuma ya pazia ambacho kinaifanya crown isiwe mada au gumzo sana pamoja na cc zake nyingi sana .
Naombeni msaada wa ufafanuzi.
Ahsanteni
Crown
Brevis