Crown vs Brevis

Crown vs Brevis

technology

crown za kuanzia model of 2005 zinatumia GR series of engine

brevis yeye anatumia the old 6 inline configuration JZ series of engine...

tunashukuru kwa mchango wako mzuri! naomba kwa faida ya wengi ungetuambia fuel consumption ipoje yani lita moja kwa kilomita ngapi kati ya brevis vs crown zote za 2.5L
 
tunashukuru kwa mchango wako mzuri! naomba kwa faida ya wengi ungetuambia fuel consumption ipoje yani lita moja kwa kilomita ngapi kati ya brevis vs crown zote za 2.5L
ntaanza kuongelea 2.5L ya crown yaani 4GR this engine niliitumia kwa almost mwaka mmoja na nusu kweny markX 2005

nilichogundua ni kuwa with a gud driving habit yaani kutokuflat foot unakanyaga wese kiustaarabu na kuacha gear zote zibadilike kwenye RPM 2500 smooth acceleration kwa town nilikuwa napata 7-10 km per liter ina depend na hali ya folen

ila high way ni 9-12 km per liter hapa naongelea cruising speed ya kuanzia 80-130kph

ukishavuka hapa napo kuna a price to pay huwezi tu kukimbia kama upo mashindanoni na mzungu akakuacha lazima uchangie uchumi kwa kuweka wese jingi

ila sasa siku nikiamua kuendesha kama mwenda wa zimu ili niifeel ile pulling ya 210 bhp all from rear wheels yaani naingia road nakanyaga wese gear 1 tu kuingia 2 inabadilika RPM ya 4 aisee utapata a very poor fuel economy ya hadi 6km per ltr na huu ndio uendeshaji wa watu wengi

wanapenda kuaccelerate faster pasi kujua unapoipush gari to its limits na RPM kuwa juu kwa muda mrefu kuna a price to pay which is Fuel.

back to brevis 1JZ nayo inarange kwenye 7-10 km/ltr town mostly 7 sababu ya folen unajikuta dk 45 nzima gari ni gear no1 na 2

ila highway unapata 10-11 -12 km/ltr vizur kabisa

conclussion GR engines ni za kisasa kuliko hizi JZ so ni lazima matokeo mazuri utayapata kwenye GR kuliko JZ

though kwamimi mtu wa sports nakili kuwa hakuna engine bora kuwahi kutoka kwa toyota kama 2JZ-GTE 6inline 3ltr (power wise)

problem ya 1JZ za brevis nyingi kama sio zote ni D4 zinahitaji matunzo mazuri sana hasa kwenye oils na filters

wengi wanakosea hapo wanaishia kupata maruwe ruwe kuanzia kwenye ulaji wa mafuta hadi machenical issues.

for a normal use i will go for 4GR over 1JZ.
 
Crown inakula kaka sema tu ni kupambana nalo ndio mana utakuta crown namba DS DT DR ni nying sana znazouzwa kulko IST maana weng wananunuaga kichwa kichwa ila mtu anachomutana nacho n tofauti
Tatizo hujaelewa mbinu mkuu, hizo gari watu hawauzi sababu zinakula mafuta ila wanakwepa ile kushikilia gari muda mrefu tu maana ni gari ambazo zinashuka thamani haraka na maintainance cost ya vipuri vyake ni ghali.

So mtu anataka amiliki namba DT tu ila zikikaribia kubadilika anauza ananunua ya DU. Kama unavyojua wabongo na kasumba ya plate numbers. Mwenye DS anauza ahamie DT na hata thamani ya gari ukimwambia mtu unaiachia kwa 13M hachomoi maana ni namba current na gari bado inakuwa ipo vizuri.
 
Inategemea na ulipo, viscosity ni kulingana na hali ya hewa ya eneo husika na aina ya matumizi ya engine aidha safari ndefu au off-roading n.k!

Mfano Dar kwenye joto kali lazma uweke oil nzito zaidi ila kwa mikoa yenye baridi unaweza kuweka nyepesi kidogo ikawa poa. Pia kama una safiri umbali mrefu unatakiwa uweke oil nzito kidogo ndio maana oil ya fuso, scania au basi kubwa ni tofauti na ya gari dogo.
 
Nina jamaa yang anafanya mishe mererani huko Mgodini. Yeye anatumia Mark-X na uendeshaji wake ni huo wa hapa na hapo tu yuko 80km/h! RPM zake ndo hizo 1-4 ila mnyama unafunguka hatari yani ukipanda ile gari kama una moyo mwepesi utaomba kushuka. Huwa akitimba mda anaotumia Moshi-Arusha hapo road ni 30mins tu.
ntaanza kuongelea 2.5L ya crown yaani 4GR this engine niliitumia kwa almost mwaka mmoja na nusu kweny markX 2005

nilichogundua ni kuwa with a gud driving habit yaani kutokuflat foot unakanyaga wese kiustaarabu na kuacha gear zote zibadilike kwenye RPM 2500 smooth acceleration kwa town nilikuwa napata 7-10 km per liter ina depend na hali ya folen

ila high way ni 9-12 km per liter hapa naongelea cruising speed ya kuanzia 80-130kph...
 
Nina jamaa yang anafanya mishe mererani huko Mgodini. Yeye anatumia Mark-X na uendeshaji wake ni huo wa hapa na hapo tu yuko 80km/h! RPM zake ndo hizo 1-4 ila mnyama unafunguka hatari yani ukipanda ile gari kama una moyo mwepesi utaomba kushuka. Huwa akitimba mda anaotumia Moshi-Arusha hapo road ni 30mins tu...

Hi sayansi ya matumizi ya mafuta kupungua tank likiwa limejaa sijaielewa kabda kama unaweza kusaidia kutoa sababu za kitaalam
 
Hi sayansi ya matumizi ya mafuta kupungua tank likiwa limejaa sijaielewa kabda kama unaweza kusaidia kutoa sababu za kitaalam
Sababu za kitaalam ni kwamba Cars have better gas mileage the fullerthe gas tank. As the tank empties out, more and more gas will vaporize to fumes to fill up the volume of the tankabove the liquid. That means you have less and less gas to burn.
 
Waone tu watu wapo ndani ya hayo magari yanayoanzia cc 2500 kwenda juu. Wengi wao wanaumia sana kuhusu mafuta ni vile tu hawasemi. Na ukitaka kujua, siku akiliuza harudii...Wanavumilia kuweka heshima.

Ni sawa na mwanaume anayepigwa na mke, huwezi kusema..unavumilia tu.
 
Hii mambo ya Engine za 1R, 2R 3R 4R 5R 6R na 1 Hz, 1Jz na zinginezo zinatumika kutambua kitu gani kwenye hizi parameter
Utumiaji wa mafuta.

Uwezo wa gari (Power).

Na vinginevyo..!
Mkuu kwa Toyota hizo injini Power haipimwi kwa code au herufi.

Ngoja nikupe mfano kwenye injini za Petrol kuna code ya A, E, F, Y, M, J na S. Mfano kwenye A kuna 5A na 7A hizi zimetumika kwenye Corolla, Carina,Sprinter na ni 4-cylinder hazina turbo. Nyingine ni 3s, 5s, 3F, 2Y, 3Y

Injini za Toyota za 6-cylinder ni 1JZ,1G na 1M, 2M.

Ukikuta code ya GR hizo ni V6. Pia herufi baada ya hizo huonesha injini ni ya kutumia mfumo upi wa carburetor, injection au turbo.
Mfano: Injini ya Gx 100 Cresta ni 1G-GE. 1G ni 6-cylinder na hiyo GE ina maana gari inatumia electric fuel injection na sio carburetor.

Mfano wa pili ni injini ya Toyota Supra 1JZ-GTE.Hapo mwanzo JZ utajua ni 6-cylinder na GTE hiyo G ni kuwa injini ina valve 4 kwa kila cylinder T ina onyesha uwepo wa turbo na E-Electric Injection.

Mfano wa 3: Injini ya Brevis 1jz-fse
1jz-Piston 6 na f- ni uwepo wa valve 4 kila cylinder na se-mfumo wa mafuta wa direct injection.

Wewe cha kushika ukiona injini yenye code hizi mbele T-Turbo, E-Mfumo wa Electric Injection F-Vvti na SE- Mfumo wa Direct Injection D4.

Ufafanuzi kidogo kwa uelewa wangu, ila kujua Horsepower au ukubwa wa injini za Toyota uwezi jua kwa kutumia code moja kwa moja.
Kwa injini za kisasa watu wengine waongezee.
 
Mkuu kwa Toyota hizo injini Power haipimwi kwa code au herufi.

Ngoja nikupe mfano kwenye injini za Petrol kuna code ya A,E,F,Y,M,J na S.
Mfano kwenye A kuna 5A na 7A hizi zimetumika kwenye Corolla, Carina,Sprinter na ni 4-cylinder hazina turbo.Nyingine ni 3s,5s,3F,2Y,3Y

Injini za Toyota za 6-cylinder ni 1JZ,1G na 1M, 2M...
Hapa hatuna cha kuongezea zaidi ya kusema asante Kwa elimu Pana juu ya hizi codes. Safi Sana mkuu
 
Mkuu kwa Toyota hizo injini Power haipimwi kwa code au herufi.

Ngoja nikupe mfano kwenye injini za Petrol kuna code ya A, E, F, Y, M, J na S. Mfano kwenye A kuna 5A na 7A hizi zimetumika kwenye Corolla, Carina,Sprinter na ni 4-cylinder hazina turbo.Nyingine ni 3s, 5s, 3F, 2Y, 3Y...

Nimekupata vyema mkuu, Ahsantee sana
 
Inategemea na ulipo, viscosity ni kulingana na hali ya hewa ya eneo husika na aina ya matumizi ya engine aidha safari ndefu au off-roading n.k!

Mfano Dar kwenye joto kali lazma uweke oil nzito zaidi ila kwa mikoa yenye baridi unaweza kuweka nyepesi kidogo ikawa poa. Pia kama una safiri umbali mrefu unatakiwa uweke oil nzito kidogo ndio maana oil ya fuso, scania au basi kubwa ni tofauti na ya gari dogo.
Exactly!
 
Na kwa kuongezea,aina ya viscosity ya oil inapaswa kutegemea umri wa gari husika.
 
Back
Top Bottom