RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Ukiwa highway kwa speed gani? Maybe 120-140kph. Ukilizibua 160+ utapata hio 14km?Engine 4GR napata 14km nikiwa highway na 10km nikiwa ktk safari za mjini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa highway kwa speed gani? Maybe 120-140kph. Ukilizibua 160+ utapata hio 14km?Engine 4GR napata 14km nikiwa highway na 10km nikiwa ktk safari za mjini.
Za kuambiwa changanya na zako.Kumbe yapo vizuri
Sent
Haha nimekusomaZa kuambiwa changanya na zako.
technology
crown za kuanzia model of 2005 zinatumia GR series of engine
brevis yeye anatumia the old 6 inline configuration JZ series of engine...
ntaanza kuongelea 2.5L ya crown yaani 4GR this engine niliitumia kwa almost mwaka mmoja na nusu kweny markX 2005tunashukuru kwa mchango wako mzuri! naomba kwa faida ya wengi ungetuambia fuel consumption ipoje yani lita moja kwa kilomita ngapi kati ya brevis vs crown zote za 2.5L
Tatizo hujaelewa mbinu mkuu, hizo gari watu hawauzi sababu zinakula mafuta ila wanakwepa ile kushikilia gari muda mrefu tu maana ni gari ambazo zinashuka thamani haraka na maintainance cost ya vipuri vyake ni ghali.Crown inakula kaka sema tu ni kupambana nalo ndio mana utakuta crown namba DS DT DR ni nying sana znazouzwa kulko IST maana weng wananunuaga kichwa kichwa ila mtu anachomutana nacho n tofauti
Inategemea na ulipo, viscosity ni kulingana na hali ya hewa ya eneo husika na aina ya matumizi ya engine aidha safari ndefu au off-roading n.k!5W-30
ntaanza kuongelea 2.5L ya crown yaani 4GR this engine niliitumia kwa almost mwaka mmoja na nusu kweny markX 2005
nilichogundua ni kuwa with a gud driving habit yaani kutokuflat foot unakanyaga wese kiustaarabu na kuacha gear zote zibadilike kwenye RPM 2500 smooth acceleration kwa town nilikuwa napata 7-10 km per liter ina depend na hali ya folen
ila high way ni 9-12 km per liter hapa naongelea cruising speed ya kuanzia 80-130kph...
Nina jamaa yang anafanya mishe mererani huko Mgodini. Yeye anatumia Mark-X na uendeshaji wake ni huo wa hapa na hapo tu yuko 80km/h! RPM zake ndo hizo 1-4 ila mnyama unafunguka hatari yani ukipanda ile gari kama una moyo mwepesi utaomba kushuka. Huwa akitimba mda anaotumia Moshi-Arusha hapo road ni 30mins tu...
Sababu za kitaalam ni kwamba Cars have better gas mileage the fullerthe gas tank. As the tank empties out, more and more gas will vaporize to fumes to fill up the volume of the tankabove the liquid. That means you have less and less gas to burn.Hi sayansi ya matumizi ya mafuta kupungua tank likiwa limejaa sijaielewa kabda kama unaweza kusaidia kutoa sababu za kitaalam
Kweli mkuu, wabongo wakishapenda kitu huwaambii lolote.Hata brevis pia IPO comfortable Ila wabongo wakishapenda Aina Fulani ya Magari kila sifa wataipa
Mkuu kwa Toyota hizo injini Power haipimwi kwa code au herufi.Hii mambo ya Engine za 1R, 2R 3R 4R 5R 6R na 1 Hz, 1Jz na zinginezo zinatumika kutambua kitu gani kwenye hizi parameter
Utumiaji wa mafuta.
Uwezo wa gari (Power).
Na vinginevyo..!
Hapa hatuna cha kuongezea zaidi ya kusema asante Kwa elimu Pana juu ya hizi codes. Safi Sana mkuuMkuu kwa Toyota hizo injini Power haipimwi kwa code au herufi.
Ngoja nikupe mfano kwenye injini za Petrol kuna code ya A,E,F,Y,M,J na S.
Mfano kwenye A kuna 5A na 7A hizi zimetumika kwenye Corolla, Carina,Sprinter na ni 4-cylinder hazina turbo.Nyingine ni 3s,5s,3F,2Y,3Y
Injini za Toyota za 6-cylinder ni 1JZ,1G na 1M, 2M...
Jesus ChristKweli mkuu, wabongo wakishapenda kitu huwaambii lolote...
Usishangae mtu akakuambia IST ni comfortable kuliko Brevis
Mkuu kwa Toyota hizo injini Power haipimwi kwa code au herufi.
Ngoja nikupe mfano kwenye injini za Petrol kuna code ya A, E, F, Y, M, J na S. Mfano kwenye A kuna 5A na 7A hizi zimetumika kwenye Corolla, Carina,Sprinter na ni 4-cylinder hazina turbo.Nyingine ni 3s, 5s, 3F, 2Y, 3Y...
Hata Carina Ti kupata hiyo fuel efficiency gari iwe maintained kuliko 🤣🤣🤣Engine 4GR napata 14km nikiwa highway na 10km nikiwa ktk safari za mjini.
Exactly!Inategemea na ulipo, viscosity ni kulingana na hali ya hewa ya eneo husika na aina ya matumizi ya engine aidha safari ndefu au off-roading n.k!
Mfano Dar kwenye joto kali lazma uweke oil nzito zaidi ila kwa mikoa yenye baridi unaweza kuweka nyepesi kidogo ikawa poa. Pia kama una safiri umbali mrefu unatakiwa uweke oil nzito kidogo ndio maana oil ya fuso, scania au basi kubwa ni tofauti na ya gari dogo.
Na kwa kuongezea,aina ya viscosity ya oil inapaswa kutegemea umri wa gari husika.Inategemea na ulipo, viscosity ni kulingana na hali ya hewa ya eneo husika na aina ya matumizi ya engine aidha safari ndefu au off-roading n.k!
Mfano Dar kwenye joto kali lazma uweke oil nzito zaidi ila kwa mikoa yenye baridi unaweza kuweka nyepesi kidogo ikawa poa. Pia kama una safiri umbali mrefu unatakiwa uweke oil nzito kidogo ndio maana oil ya fuso, scania au basi kubwa ni tofauti na ya gari dogo.