Crown vs Brevis

Crown vs Brevis

technology

crown za kuanzia model of 2005 zinatumia GR series of engine

brevis yeye anatumia the old 6 inline configuration JZ series of engine

kiuhalisia toyota wameshaachana na kutengeneza engine za 6 inline wakahamia kwenye V configuration yaani V6

turudi kwenye mada kwann brevis zinalalamikiwa

ukiachana na kuwa zinatumia 1jz na 2jz ambazo ni 6 inline ila JZ zilizotumika kwenye brevis zilikuwa na technologia ya D4-D mfumo wa kisasa baada ya VVt-i

ubaya wa mfumo huu ni sisi wenyewe wa TZ engine zenye mfumo wa D4 zinabidi zitumie engine oil iliyokuwa recomended na manufacture yaani specs ziwe sahihi kuanzia kwenye viscocity mpaka kwenye API najua wengi wanatumiaga tu oil bila kufatilia specs (mnauwa magari yenu)

utasikia mimi natumia castrol ...ndioo ni castrol ila jiulize je ni ya specs sahihi ya gari yako

unakuta mtu anamiliki gari ya 2013 alafu anaweka oil ya API SH ambayo technicaly ni obsolete (takataka) wakati gari ya 2013 kiuhalisia ungetakiwa utumie API SN au SN plus kabisa

brevis siyo pasua kichwa ila matumizi ya watanzania yamefanya zionekane pasua kichwa though ni mbaya kwenye fuel economy

crown na GR engines

engine bora kabisa toka toyota kwa sasa ikitumia umeme mwingi katika uendeshaji wake

crown zinakuja na machagua matatu makuu

2.5 ltr V6 engine 4GR ...power output 210 hp

3.0 ltr V6 engine 3GR ...power output 276hp

3.5 ltr v6 engine 2GR ....power output 315hp

ni engine nzuri sana ambazo ukiziendesha kiustaarabu zitakupa matokeo mazuri ya uchumi wa mafuta ukikinganisha na nguvu inayozalishwa
 
technology


crown za kuanzia model of 2005 zinatumia GR series of engine

brevis yeye anatumia the old 6 inline configuration JZ series of engine...
Mkuu hapo Kwenye utumiaji wa oil ni vituko tupu Kwa wamiliki wa Magari nikiwemo Mimi pia.
Watu wengi wanakiambiwa engine oil ya bei ghali basi ni Bora kuliko kuangalia specifications za hiyo oil kama inaendana na engine.

Mafundi wetu wa uswahilini nao ni wachache Sana wanaojua Aina za oil na utumiaji wake
 
Si kweli, engine ya crown ipo very optimized asa ktk ulaji wa mafuta
raha ya arthlete uwe masafa marefu ndo utaenjoi ila hapa hapa town haina tofauti na subaru xt,ninaipenda hyo gari sana but kwenye mafuta inakula si kitoto,usidanganye wenzio,maana tunazo but mjini tunatumia vitz na ist hzo tunatembelea for special tours

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
raha ya arthlete uwe masafa marefu ndo utaenjoi ila hapa hapa town haina tofauti na subaru xt,ninaipenda hyo gari sana but kwenye mafuta inakula si kitoto,usidanganye wenzio,maana tunazo but mjini tunatumia vitz na ist hzo tunatembelea for special tours

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
Eti inakula si kitoto!!!, itoshe kusema acha kupotosha watu Bwaa shee, nilijua unatoa technical reasons kumbe unaleta porojo tu. 4GR, 3GR ni engine iliyokuwa improved sana asa ktk ulaji wa mafuta, all mechanics wanazungumza hivyo. Huu ni mwaka wa tatu sasa natembelea Crown, nishakuwa na Royal na sasa ninayo Athlete, na kabla sijaingia ktk ulimwengu wa Crown nilishafanya study ya hali ya juu kuhusu hizo gari nishatembelea forums nyingi za car mechanics,

Nishawahoji mafundi zaidi ya kumi kabla sijafanya maamuzi ya kuagiza na study yangu ilimulika mechanical problems, perfomance & effiecency, fuel consumption and dulability. Sina cha kudanganya jombaa ktk ulimwengu huu wa teknolojia na uwazi, na hakuna cha kudanganywa unless wewe mwenyewe upende kudanganywa. Ila kama fikra zako ni kupata km 30 kwa mafuta ya elfu 5,000 hapo lazima utaona inakula mafuta!!
 
Ni kweli [emoji38]

kuna dogo mmoja nimemkumbuka, yan yeye alikuwa anapaki mbali kabisa tofauti na wengine. Ukimuuliza kwanini anafanya vile anajibu crown ni mnyama simba hawezi kuchangamana na swala

Yaani hawa jamaa wanajiona sana yani [emoji16][emoji16]
 
Eti inakula si kitoto!!!, itoshe kusema acha kupotosha watu Bwaa shee, nilijua unatoa technical reasons kumbe unaleta porojo tu. 4GR, 3GR ni engine iliyokuwa improved sana asa ktk ulaji wa mafuta, all mechanics wanazungumza hivyo...
on serious note , unapata average ya km ngapi kwa lita ya mafuta, ?
naomba nitajie na aina ya engine unayotumia, utanisaidia sana
 
Hii mambo ya Engine za 1R, 2R 3R 4R 5R 6R na 1 Hz, 1Jz na zinginezo zinatumika kutambua kitu gani kwenye hizi parameter
Utumiaji wa mafuta.

Uwezo wa gari (Power).

Na vinginevyo..!
Hamnaga engine za gari za hivyo kwa toyota mzee🤣🤣🤣
 
Hamnaga engine za gari za hivyo kwa toyota mzee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mkuu mie nimezitaja sijui mtiririko wake ukoje ila hoja yangu kubwa ni kupatiwa darasa ni namna hizi parameters zinasaidia katika kujua uwezo wa Gari na utumiaji wa mafuta.
 
Eti inakula si kitoto!!!, itoshe kusema acha kupotosha watu Bwaa shee, nilijua unatoa technical reasons kumbe unaleta porojo tu. 4GR, 3GR ni engine iliyokuwa improved sana asa ktk ulaji wa mafuta, all mechanics wanazungumza hivyo. Huu ni mwaka wa tatu sasa natembelea Crown, nishakuwa na Royal na sasa ninayo Athlete, na kabla sijaingia ktk ulimwengu wa Crown nilishafanya study ya hali ya juu kuhusu hizo gari nishatembelea forums nyingi za car mechanics,

Nishawahoji mafundi zaidi ya kumi kabla sijafanya maamuzi ya kuagiza na study yangu ilimulika mechanical problems, perfomance & effiecency, fuel consumption and dulability. Sina cha kudanganya jombaa ktk ulimwengu huu wa teknolojia na uwazi, na hakuna cha kudanganywa unless wewe mwenyewe upende kudanganywa. Ila kama fikra zako ni kupata km 30 kwa mafuta ya elfu 10,000 hapo lazima utaona inakula mafuta!!
Mkuu 10,000/- ni Lita karibu 6. Ili kupata km 30 inabidi consumption iwe 1L/5km. Wewe mafuta ya 10,000/- unategemea km ngapi? 10km?
 
Back
Top Bottom