Crown vs Brevis

Crown vs Brevis

Macbook pro

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2020
Posts
722
Reaction score
1,030
Habari gani wakuu,

Niende moja kwa moja kwenye mada yangu.

Nimekuwa nikifuatilia thread nyingi sana huku kwenye jukwaa la JF garage, moja ya mada inayotajwa mara kwa mara ni magari pasua kichwa huku Brevis ai250 2450cc ikitajwa kama pasua kichwa kwenye utumiaji wa mafuta.

Lakini kuna gari yenye size kama ya Brevis ila tofauti yake ni cc, yenyewe ina 3000cc. Katika hizi gari mbili sijawahi kusikia mtu akilalamikia Crown [emoji146] kwenye unywaji wa mafuta ila Brevis yenye 2450 cc.

Ni kitu kipi kingine kilichojificha nyuma ya pazia ambacho kinaifanya crown isiwe mada au gumzo sana pamoja na cc zake nyingi sana .

Naombeni msaada wa ufafanuzi.

Ahsanteni

1595491176589.png

Crown

1595491254719.png

Brevis
 
Lakini hizi engine za 1JZ na 2 JZ zina nguvu Sana pia zinachanganya mapema mno. Hata ulaji wa mafuta Kati ya brevis na crown unafanana Tu isipokuwa crown zinapendwa Tu kutokana na comfortability, luxury na performance
 
Lakini hizi engine za 1JZ na 2 JZ zina nguvu Sana pia zinachanganya mapema mno....
Hata ulaji wa mafuta Kati ya brevis na crown unafanana Tu isipokuwa crown zinapendwa Tu kutokana na comfortability, luxury na performance

Nimeanza kukuelewa
 
Lakini hizi engine za 1JZ na 2 JZ zina nguvu Sana pia zinachanganya mapema mno....
Hata ulaji wa mafuta Kati ya brevis na crown unafanana Tu isipokuwa crown zinapendwa Tu kutokana na comfortability, luxury na performance

3GR/4GR zilizoko kwny Crown/mark x etc zinakula mafuta vizuri zaidi/sana kuliko Brevis.
 
Kuna moja 2GR Lina 3,400cc [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Jamaa lilikuwa linampa 4.1km/l..
Mafuta ya 20,000 daily na Ana mshahara wa milioni moja.
Kapiga chini yuko premio
Hahah enheeee sasa madude hayo mi ndo nayapendaga na ikitokea nikaokota hela nikavuta Crown nataka hio kitu yenye 2GR kitu ina HP 314 na pia torque ya kutosha ipo,hizi 3GR/4GR hazinivutii.

Hahah huyo mwana ajipange,ila washkaji wengi wana miliki magari mazuri lkn wao wanajua kuweka mafuta tu maintainance ni zero,Engine oil anaweka kitu ya Sae-40,ATF anaweka sijui ya General,Spark plugs anaweka ya buku 4 hahah lazima litazingua tu ukijumlisha na foleni hapa town wese litaliwa mbaya kabisa.
 
Teamcrown nipo hapa...cha muhimu pambana na hali yako tu...kama unaona uwezi cost ya crown kamata premior mkuu...lakini crown ndo kila kitu
hahahahah!!!! Benz ya MJAPAN, Aisee crown ni gari tamu sana. Performance, comfortability and stability. Yaan kadri unavyo accelerate ndivyo linazidi kuwa stable. Shikamoo MJEPU
 
Back
Top Bottom