Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,587
- 7,272
technology
crown za kuanzia model of 2005 zinatumia GR series of engine
brevis yeye anatumia the old 6 inline configuration JZ series of engine
kiuhalisia toyota wameshaachana na kutengeneza engine za 6 inline wakahamia kwenye V configuration yaani V6
turudi kwenye mada kwann brevis zinalalamikiwa
ukiachana na kuwa zinatumia 1jz na 2jz ambazo ni 6 inline ila JZ zilizotumika kwenye brevis zilikuwa na technologia ya D4-D mfumo wa kisasa baada ya VVt-i
ubaya wa mfumo huu ni sisi wenyewe wa TZ engine zenye mfumo wa D4 zinabidi zitumie engine oil iliyokuwa recomended na manufacture yaani specs ziwe sahihi kuanzia kwenye viscocity mpaka kwenye API najua wengi wanatumiaga tu oil bila kufatilia specs (mnauwa magari yenu)
utasikia mimi natumia castrol ...ndioo ni castrol ila jiulize je ni ya specs sahihi ya gari yako
unakuta mtu anamiliki gari ya 2013 alafu anaweka oil ya API SH ambayo technicaly ni obsolete (takataka) wakati gari ya 2013 kiuhalisia ungetakiwa utumie API SN au SN plus kabisa
brevis siyo pasua kichwa ila matumizi ya watanzania yamefanya zionekane pasua kichwa though ni mbaya kwenye fuel economy
crown na GR engines
engine bora kabisa toka toyota kwa sasa ikitumia umeme mwingi katika uendeshaji wake
crown zinakuja na machagua matatu makuu
2.5 ltr V6 engine 4GR ...power output 210 hp
3.0 ltr V6 engine 3GR ...power output 276hp
3.5 ltr v6 engine 2GR ....power output 315hp
ni engine nzuri sana ambazo ukiziendesha kiustaarabu zitakupa matokeo mazuri ya uchumi wa mafuta ukikinganisha na nguvu inayozalishwa