Crown vs Brevis

Umeongea vizuri lakini hapo mwisho, kwa nini mtu ukubali gari likuzimikie mafuta barabarani...? Huo ni ujinga uliopitiliza...

Wakati mtu anawasha gari lake nyumbani,si anaona gauge inasoma vipi...

Very correct, mie nina gari na Pikipiki, huwa nikiona usawa wangu wakati huo sio rafiki huwa nahamia kwenye pikipiki kama tu nikiona gauge iko chini. Na sijawahi kuzimikiwa na siku zingine huwa naendesha sport Bicycle [emoji605] yangu kupiga misele ya kitaa. Sio lazima nitoke na Gari langu wakati mwingine hata kwa miguu tu hivyo yaaani
 
Naweza nikakubali pia naweza nikakataa...
Kipato cha 1M kwa mwezi kinatosha kujimwambafai kwenye cc2000+ kama hauna familia..

kama una familia na anagalau mtoto mmoja anasoma NANILIU ENGLISH MEDIUM SCHOOL....aisee cc 2000+ kwa kipato cha 1M hautafurahia gari saana..
 
...[emoji38][emoji38]kweli mkuu...Binafsi huwa nachukia sana unakuta mtu GX 100 limezima kwenye traffic light..[emoji613][emoji614][emoji613][emoji614] kisa wese...

Vijana wa boda boda wanamsaidia kulisukumia pembeni...jamaa anatoka na kidumu anaenda sheli kuleta mafuta ya buku 5..[emoji38][emoji38][emoji38]
Shida zote hizo za nini..?... Mshale ukishalala kwa Ester (E), tupande tu daladala...kama hakuna uwezekano wa kufanya mshale ulale kwa Fatuma (F) [emoji38][emoji38]

Na likishazimikia hapo kwenye mataa, unaona trifiki wanaanza kujilamba lamba..[emoji39][emoji39]

Mmoja anakusogelea anakagua gari mpaka aiana ya maji uliyoweka kwenye radiator..[emoji38][emoji38]
 
...[emoji38][emoji38]kweli mkuu...Binafsi huwa nachukia sana unakuta mtu GX 100 limezima kwenye traffic light..[emoji613][emoji614][emoji613][emoji614] kisa wese..

Kweli mzee.! Mie sipendagi show off kwa kweli.! Maisha yangu nayarndesha mwenyewe na sio macho ya watu. Siku niko vizuri natoka na ndinga yangu safi nazunguka nayo itapita service na kuoshwa ikapendeza basii.! Ikifika jioni narudi home [emoji537]
 

Hilo sikupingi Mkuu, ila kikubwa ni kuweka Priority kwa mambo ya msingi. Gari wakati mwingine sio lazima uliendeshe hata kulipaki homu hata kwa muda ili mradi watoto waende shule sioni tatizo.
 
Una gari ya cc ngapi
 
Umetaja kitu Cha SAE-40 nikakumbuka mafundi flan wa kuunga-unga nilikua nawatumia Sana nilitaka kusafir wanaenda kumwaga oil pale Bungoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…