Macbook pro
JF-Expert Member
- Jul 15, 2020
- 722
- 1,030
- Thread starter
- #101
Umeongea vizuri lakini hapo mwisho, kwa nini mtu ukubali gari likuzimikie mafuta barabarani...? Huo ni ujinga uliopitiliza...
Wakati mtu anawasha gari lake nyumbani,si anaona gauge inasoma vipi...
Very correct, mie nina gari na Pikipiki, huwa nikiona usawa wangu wakati huo sio rafiki huwa nahamia kwenye pikipiki kama tu nikiona gauge iko chini. Na sijawahi kuzimikiwa na siku zingine huwa naendesha sport Bicycle [emoji605] yangu kupiga misele ya kitaa. Sio lazima nitoke na Gari langu wakati mwingine hata kwa miguu tu hivyo yaaani